Shirika la Afya Duniani lasema hatari ya Ebola kwa nchi jirani na Guinea ni kubwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuna hatari kubwa ya mlipuko wa Ebola uliopo Guinea kusambaa Mataifa jirani. Shirika hilo limesema baadhi ya Nchi hizo hazijajiandaa kwa kampeni za Chanjo

Mwakilishi wa WHO Guinea, Gerorges Alfred Ki-Zerbo amesema visa 18 vimerekodiwa hadi sasa na kati yao, wanne wamepoteza maisha. Tayari watu 1,604 wamepatiwa chanjo dhidi ya Ugonjwa huo ambao umeibuka tena hivi karibuni

=====

World Health Organization officials said on Friday the risk of an Ebola outbreak spreading to Guinea’s neighbours was “very high” and that some of those countries were not prepared for vaccination campaigns.

WHO’s Guinea representative Georges Alfred Ki-Zerbo told a virtual briefing that so far 18 cases had been identified, of whom four had died. So far, 1,604 have been vaccinated against Ebola in the new outbreak there.
 
Back
Top Bottom