Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Nov 14, 2013 #1 Kwa wenyeji wa mkoa huu,je,bado pako hivi hivi au kuna mabadiliko? 06/07/2007 Nalog off
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Nov 14, 2013 #2 imekaa kama chumba cha jenereta nilipokuwa o-level
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Nov 14, 2013 Thread starter #3 24hrs said: imekaa kama chumba cha jenereta nilipokuwa o-level Click to expand... Mkuu hapa ni stesheni na humo ndani abiria ndipo wanaposubiria usafiri. Nalog off
24hrs said: imekaa kama chumba cha jenereta nilipokuwa o-level Click to expand... Mkuu hapa ni stesheni na humo ndani abiria ndipo wanaposubiria usafiri. Nalog off
Makanyaga Platinum Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,821 Reaction score 7,562 Nov 14, 2013 #4 Washawasha said: Kwa wenyeji wa mkoa huu,je,bado pako hivi hivi au kuna mabadiliko? 06/07/2007 Nalog off Click to expand... Railway Station hapo
Washawasha said: Kwa wenyeji wa mkoa huu,je,bado pako hivi hivi au kuna mabadiliko? 06/07/2007 Nalog off Click to expand... Railway Station hapo
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Nov 14, 2013 #5 Reli yenyewe ni kama haipo
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Nov 14, 2013 #6 Makanyaga said: Railway Station hapo Click to expand... Mbona huu mradi wa ukarabati wa hii station waliaward tender ya 2.8Bn in FY 06/07? :faint2:
Makanyaga said: Railway Station hapo Click to expand... Mbona huu mradi wa ukarabati wa hii station waliaward tender ya 2.8Bn in FY 06/07? :faint2:
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Nov 14, 2013 #7 Washawasha said: Kwa wenyeji wa mkoa huu,je,bado pako hivi hivi au kuna mabadiliko? 06/07/2007 Nalog off Click to expand... Hili banda niliwahi kuliona Shy Railway Station kitambo saana 2005 sijui mpaka leo lipo
Washawasha said: Kwa wenyeji wa mkoa huu,je,bado pako hivi hivi au kuna mabadiliko? 06/07/2007 Nalog off Click to expand... Hili banda niliwahi kuliona Shy Railway Station kitambo saana 2005 sijui mpaka leo lipo
U uchwara JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 438 Reaction score 135 Nov 14, 2013 #8 Ha ha ,huu ndio mkoa unatoa kabila kubwa Tanganyika!Kuna dhahabu,almasi,pamba,mpunga! Resources za mkoa huu,ndio zitajenga bandari ya Wachina/Jk huko Bagamoyo.
Ha ha ,huu ndio mkoa unatoa kabila kubwa Tanganyika!Kuna dhahabu,almasi,pamba,mpunga! Resources za mkoa huu,ndio zitajenga bandari ya Wachina/Jk huko Bagamoyo.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Nov 15, 2013 Thread starter #9 uchwara said: Ha ha ,huu ndio mkoa unatoa kabila kubwa Tanganyika!Kuna dhahabu,almasi,pamba,mpunga! Resources za mkoa huu,ndio zitajenga bandari ya Wachina/Jk huko Bagamoyo. Click to expand... Lakini mkoa huu nao si uko vizuri kimaendeleo ama? Nalog off
uchwara said: Ha ha ,huu ndio mkoa unatoa kabila kubwa Tanganyika!Kuna dhahabu,almasi,pamba,mpunga! Resources za mkoa huu,ndio zitajenga bandari ya Wachina/Jk huko Bagamoyo. Click to expand... Lakini mkoa huu nao si uko vizuri kimaendeleo ama? Nalog off