Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Kwa wenyeji wa mkoa huu,je,bado pako hivi hivi au kuna mabadiliko? 06/07/2007
Nalog off
Nalog off
Mkuu hapa ni stesheni na humo ndani abiria ndipo wanaposubiria usafiri.imekaa kama chumba cha jenereta nilipokuwa o-level
Kwa wenyeji wa mkoa huu,je,bado pako hivi hivi au kuna mabadiliko? 06/07/2007
![]()
Nalog off
Railway Station hapo
Hili banda niliwahi kuliona Shy Railway Station kitambo saana 2005 sijui mpaka leo lipoKwa wenyeji wa mkoa huu,je,bado pako hivi hivi au kuna mabadiliko? 06/07/2007
![]()
Nalog off
Lakini mkoa huu nao si uko vizuri kimaendeleo ama?Ha ha ,huu ndio mkoa unatoa kabila kubwa Tanganyika!Kuna dhahabu,almasi,pamba,mpunga!
Resources za mkoa huu,ndio zitajenga bandari ya Wachina/Jk huko Bagamoyo.