Shinyanga: Watu wanne mbaroni wakidaiwa kuua kwa malipo ya Tsh. Milioni 2.2

kwa wasukuma hata sishangai ni kama desturi,yaani wapo kama wamarekani,contract killing ni ya mda kitambo,wabibi wenye macho mekundu wameuliwa sana tangu enzi za kina Bhoke munanka
 
Walihisiwa uchawi ama? Maana huu mchezo wa kuwakata mapanga wanawake wanapohisiwa kuwa ni wachawi,haujaanza leo.
 
Kwa sisi tuliowahi kufanya hizi kazi tunaziita contract killing na kundi letu la mauaji tulikuwa tunaliita murder inc
 
Nona gharama za kuua mtu Shinyanga zimepanda, kutoka kwenye depe la chimpumu, magunia ya mpunga hadi milioni mbili! Wanyantuzu wanapenda kukodiwa kuua!
Inaonekana una data nzuri na huko mauaji ya kukodi yameshamiri sana !
 
Back
Top Bottom