Acha uongoShinyanga mjini hovyo sana.
Hata ukitaka breakfast hakuna sehemu insyoeleweka ukanywa chai uka enjoy.
Chakula cha uhakika ni mchana tu tena sehemu moja tu ambayo wakati mwingine pia wanapika vibaya tu.
Ni sehemu ambayo bara bara ni chafu zimejaa udongo ijapokuwa ni za lami.
Usafiri wa tax ni wa shida,wafanya biashara hii wana nyodo na waongo.Unakubaliana nae unaamka mapema kuwahi basi,ikinyesha mvua tu anazima simu.
Biashara ni ngumu sana shinyanga,nadhani ni sehemu mojawapo ngumu Tanzania.
Maji ya ziwa yapo ila wanachanganya na maji ya bwawa chafu sana la ning"hwa na kuyafanya yawe ya chumvi na mabaya sana.
Bora Tabora sana utapata hata bookshop ya kueleweka,library nzuri,taasisi za mafunzo zinazoeleweka,na bara bara safi zisizo na mchanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Shinyanga mjini hovyo sana.

Kumbe pabaya ivShinyanga mjini hovyo sana.

Wewe hao vichaa sio bangi ni uloziVichaa wengi Tabora si hasa kutokana na ulozi, bali uvutaji wa bangi. Bangi hulimwa aghalab katikati ya zao la tumbaKu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shinyanga na Tabora pote ni semi desert climate iwaje unasema Shinyanga pakameTabora hali ya hewa safi, tatizo ni Uswahili mwiiingi na Uchawi, pia mauaji ni kitu cha kawaida hasa kwa maeneo ya pembeni, mzunguko wa pessa kawaida sana.
Shinyanga pakame mnooo, ushamba mwiiiingi na biashara hazitoki pia na kama zinatoka Wanaukabira