Shinyanga Leo

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Nimefika hapa nikadhani mnada kumbe bodaboda!
 

Attachments

  • 1395746288108.jpg
    117.4 KB · Views: 963
  • 1395746311585.jpg
    114.1 KB · Views: 232
ha ha ha ha..., sio bodaboda bhana, ni usafiri wa wnafunzi huo. hapo si shuleni ndugu. wanakujaga na baisikeli zao huko shy. hawataki ushenz wa kurumbana na makonda.
 
Hao wameendelea kuliko kutembea mwanafunz kwa miguu bora hiyo.
 
Usafiri mwingi kuliko wateja(abiria)
 
ha ha ha ha..., sio bodaboda bhana, ni usafiri wa wnafunzi huo. hapo si shuleni ndugu. wanakujaga na baisikeli zao huko shy. hawataki ushenz wa kurumbana na makonda.

Hivi ni ka shule gani haka wanakujaga na baisikeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…