Elections 2010 Shime wapenda mabadiliko tufanye kazi hii............

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
kila ofisi ya kata ina daftari la watu wanaotarajiwa kupiga kura,fanya yafuatayo,nenda na ufahamu idadi ya watu waliojiandikisha na weka kumbukumbu ili mwisho wa siku tuibane nec na uchakachuaji wa kura
 
kaka una akili sana wewe ntalifanyia kazi hili suala
 
Back
Top Bottom