Shimbo ni Uteuzi Makini

Well, kama ni mzuri kiasi hicho angetuwakilisha vizuri zaidi kwenye nchi zenye vita. China tunahitaji mtu mahiri kwenye masuala ya uchumi, si uanajeshi


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Sababu ya kumsaidia Gen Mwamuyange kulibadilisha Jeshi; Kwahiyo anafaa kuwa BALOZI? ana DIPLOMASIA GANI?
Sio yeye aliyekuwa na Scandal na pesa za Malipo ya Wanajeshi wanaofanya UN?

Hivi tunapongeza kwa kuwa hatuna HABARI za UNDANI kuhusu hao Wateuliwa au Tumeshindwa kuwa Wakweli ni BENDERA FUATA UPEPO

Sasa hhuko CHINA atawezaje kuhamasisha Serikali ya RAIA???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…