Mlavumbi wa Ukweli
Member
- Jan 22, 2014
- 65
- 38
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva , Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed Shilole hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.
Baadhi ya wanandugu hao ( majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.
Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na Shilole ambaye hawaendani kiumri , alidai mmoja wa ndugu hao.
Alipotafutwa Shilole ili kufikishiwa ujumbe wa ndugu hao kwamba hawamtaki , simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa.
Hao ndugu wakalale
Wafate yao
hainaga kuuliza umri ile makitu!!!!
Mi ningekuwa mzazi maamuzi namwachia tu mwanangu ili mradi kafikisha umri wa kuoa na ni mtu mzima akafie mbele huko yeye mwenyewe
Wakaache kale katoto kapewe twisheni na waliokubuhu hao watoto wenzie watamsumbua kwanza ni sunna kuona aliekuzidi umri.
Age ain't nothing but a number!
Si haramu nzi kufia kwenye kidonda...kama dogo ana zaidi ya miaka kumi na nane aachwe afuate moyo wake jamani.
Kipendacho roho hula nyama mbichi...na mtoto akililia wembe mpeni.
Huyo nuhu mziwanda aende akachezeane na lulu tu mambo ya ndoa awaachie wenyew
Shilole mbona bado kisichana sana, teenage na bikira yake, au mnamuongelea Shilole yupi?
Naunga mkono hoja.....alafu na milage ya papuchi. yke vp..Dah maskin shilole kapelekwa had ukweni wakwe wamechomoa, aibuje? Ila ni kawaida kwa familia zenye maadili isingeweza kumkubali mwanamke kama shilole, yani ukataji mauno vile hadharan na style ya maisha yake sio mwanamke wa kuolewa japokuwa ndo kazi yake
Nyimbo ya chuna buzi imemponza
Mwenzangu mie nimemjulia instagram na kumuona uko tu
Kwa hiyo mziwanda ni mwanamuziki sio duuuu wanamuziki wengiii yaan shilole haonagi aibu kuvivulia vidogo zake nahis hata dogo janja ashapigaa
AHahah haha umenichekesha binamu hadi dogo janja? Nae atakuwa kazidisha tutamchezea kigodor tumchambe aache kutuaribia vijana wetu , akawape hilo bakuli lake akina chid benz uko mfyuuu
Au mganga wake ndo anavyomtumaga huyu atembee na vitoto? Maana sio bure huyu yani anapenda vitoto kiama we ngoja siku tumuwekee mtego wa global manina zake atarud igunga kukiuza, halafu ndo anasema alibakwaga huyu? Mmh nyie binamu ulimwengu una miujiza ila shilole kazidisha tukudanganya alibakwaUnafikiriii sijui vinamkuna mnoo anatuharibia wadogo zetu we nasikia hadi young dee kamla shilole, ila binam yule wa sound track ni wa ukwelii lo nae uwoya anambemendaa khaa!!!!!
Kwa hiyo mziwanda ni mwanamuziki sio duuuu wanamuziki wengiii yaan shilole haonagi aibu kuvivulia vidogo zake nahis hata dogo janja ashapigaa
afu shilole ana28 asibishe nakumbuka interview yake ya mwanzo kwenye gazeti la risasi alisema kazaliwa 1986 ila asa hv anadanganya sijui yukoje yule...!
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Shilole na sintah, nimekumbuka mbali ile michambo yao kwenye take one, halafu nilimsikia shilole akisema atafanya collabo na j-lo ilikuwa mwaka jana sijui, sasa nashangaa had leo kimya, mashabiki wake tunasubir kwa hamu collaboration la nguvu
Halafu shilole enterview zake dah hadi naonaga aibu anavyojielezea, yani kama hamnazo vile yani anaongea mambo ya ajabu ajabu halafu hayaeleweki, atakuwa kalogwa yule
Afanye na mafikizolo,binamu hujanipa umbea wa kina terelence jina gumu sijui hata nimelipatia mwe!!!
Shilole na sintah, nimekumbuka mbali ile michambo yao kwenye take one, halafu nilimsikia shilole akisema atafanya collabo na j-lo ilikuwa mwaka jana sijui, sasa nashangaa had leo kimya, mashabiki wake tunasubir kwa hamu collaboration la nguvu
Halafu shilole enterview zake dah hadi naonaga aibu anavyojielezea, yani kama hamnazo vile yani anaongea mambo ya ajabu ajabu halafu hayaeleweki, atakuwa kalogwa yule
Arogwe na nani yule? Arogwe kisa nini? msiwasingizie wachawi jamani...
Chambilecho" Hujarogwa mlimwengu, usitafute sababi, hiyo ni fimbo ya Mungu yakushikisha adabu"
Hivi unadhani kubemenda watoto wa watu mchezo?