njeeseka JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,374 Reaction score 985 Jul 30, 2015 #1 Kuna kila sababu ya wasanii kubaki na utamaduni wa nchi zetu za kiafrika. Labda na wengine watajifunza.
Kuna kila sababu ya wasanii kubaki na utamaduni wa nchi zetu za kiafrika. Labda na wengine watajifunza.
falcon mombasa JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 9,227 Reaction score 9,356 Jul 30, 2015 #2 mbona shishi baby niko nae hapa,hiyo bana aliyopigwa ban gani? elezea vizuri
njeeseka JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,374 Reaction score 985 Jul 30, 2015 Thread starter #3 Hiyo ni breaking news habari mzima asubuhi...
stwita JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 1,340 Reaction score 761 Jul 30, 2015 #4 Apigwe tu maana hamna jinsi tena