Katika wasanii waliopiga show za nje na kujaza wazungu na pia kutumia jukwaa ambalo pia kidogo lina hadhi ni hawa jamaa wa kuitwa Jagwa Dege la Jeshi,wanapiga mnanda.Niliangalia show zao walizopiga ujerumani na nchi nyingine za ulaya na nikajisemea kuwa kweli nabii hakubaliki kwao.
Hawa wengine wote wanaosema wanaenda kufanya show mara Uingereza mara wapi bila kutuletea picha wala video za show zao naona wana tafuta sifa tu.
Sasa mfano huyo shilole hapo,hiyo ni show ama kitu gani?
"Nlikuwepo":bolt: