Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Jul 24, 2017 #1
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 Jul 24, 2017 #2 Labda viwanda tulivyoahidiwa vikianza kufanya kazi itapaa juu
Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,701 Reaction score 3,664 Jul 25, 2017 #3 Mkuu ni ya nchi gani hiyo kwani mbona haina hata jina la Nchi husika? And also made in wapi hiyo kitu.. Tanzania ya viwanda
Mkuu ni ya nchi gani hiyo kwani mbona haina hata jina la Nchi husika? And also made in wapi hiyo kitu.. Tanzania ya viwanda
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Jul 25, 2017 Thread starter #4 Duduwasha said: Mkuu ni ya nchi gani hiyo kwani mbona haina hata jina la Nchi husika? And also made in wapi hiyo kitu.. Tanzania ya viwanda Click to expand... Hiyo Shilingi aliyokuwa akiitumia Rais Mstaafu Mheshimiwa Rais Kikwete, tunataka Shilingi Mpya ya Mtumbuwa Majipu ya Escrow Mheshimiwa Proffesor Rais Magufuli shilingi ya Viwanda.
Duduwasha said: Mkuu ni ya nchi gani hiyo kwani mbona haina hata jina la Nchi husika? And also made in wapi hiyo kitu.. Tanzania ya viwanda Click to expand... Hiyo Shilingi aliyokuwa akiitumia Rais Mstaafu Mheshimiwa Rais Kikwete, tunataka Shilingi Mpya ya Mtumbuwa Majipu ya Escrow Mheshimiwa Proffesor Rais Magufuli shilingi ya Viwanda.
ECONOMY JF-Expert Member Joined Apr 10, 2017 Posts 678 Reaction score 481 Jul 25, 2017 #5 Hapa kazi tu Sent using Jamii Forums mobile app
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jul 25, 2017 #6 Kazi kwelikweli..labda uchumi wa viwanda utaipandisha thamani