BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,796
- 6,671
Hela yetu haiwezikupanda kwa sababu tumewekeza ujinga, ufisadi, rushwa, unafiki, ufukara, uchawa n.kPost kama hizi ni ngumu, siku nyingine njoo na post za porojo za kisiasa, uzushi ikishindikana sana post inayo husu Yanga na Simba.
Nchi ya kijinga sana hiiWaziri wetu wa fedha ye kazi kusifia tu mama mama mamaaa mamaaa
Zero kabisa!
BBC wametoa report pia kuwa pesa inayoimarika chini ya jangwa la sahara ni ya Kenya tuNimekaa kenya kwa wiki moja hivi,
1000 ya kenya ambayo ni 20,000/= ya Tanzania unapata 30 units, wakati tanzania kwa 20,000/= ambayo ni 1,000/= ya kenya unapata 56 units
So wapi ni rahisi?
Acheni hizi maneno tz maisha ni rahisi sana kuliko kenya, hizi ni pororpaganda tu
Kuna tofauti kubwa sana kati ya rais wa Kenya na Tanzania.
Kenya wana rais mwenye kiu ya kutaka maendeleo ya nchi yake lkn Tanzania wana rais mwenye kiwi ya kung'ariasha viatu ili asafiri nje
Bongo tunaweza kuwa na Hali Bora ya kuwekeza kuliko Jirani zetu, tatizo hapa ni uchawa, na si wafanyakazi. Hapo ndio wawekezaji Wana shindwa, Sisi wawekezaji wanaokuja ni wale wenye kuelewa jinsi ya kuishi na chawa, ni biashara ambayo hulipi Kodi ndio maana hauoni faida yake kiuchumi, Sana Sana kubomoa uchumi , maana wakwepa Kodi baada ya hapo husafirisha hiyo Fedha makwao au nchi zingine zenye kujielewa. Na kuwekeza kwenye biashara zenye kujenga uchumi husika. Iwe nchi Jirani au nyingine .Tuwapongeze pia kwa kuwavutia wawekezeji..
karibu kampuni kibwa zote wakifikiria kuwekeza East Africa.. kimbilio lao ni KE.
Hata kiswahili tu wanajua ni kutoka KE
Gaharama za kufungua kampuni ya kigeni kwa TZ zinawezabkufika hadi mara 5 ya KE.
Muda wa kufungua Kampuni ya kigeni bongo inachukuwa mida mrefu kuliko KE.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya rais wa Kenya na Tanzania.
Kenya wana rais mwenye kiu ya kutaka maendeleo ya nchi yake lkn Tanzania wana rais mwenye kiwi ya kung'ariasha viatu ili asafiri nje