Shilingi Bilioni 3 kutumika katika Uchaguzi wa marudio

Shilingi Bilioni 3 kutumika katika Uchaguzi wa marudio

Wewe kapuku wa kijijini huko unajua nini kuhusu ununuzi wa wapinzani unao fanyikia arusha? Unadhan ununuzi wa upinzan wanatangaza zabuni kwanza redioni?? Au wanaitisha kikao cha wananchama kwanza?acheni unafiki taifa lina mahitaji mengi sana ya masingi lakin pesa nyingi zinapotelea kuhudumia wanasiasa ,taama ya madaraka inaliingiza taifa hasara kubwa kila siku, mmejikita kujenga chama kwa njia haramu badala yaa kuhangaika na matatizo ya watanzania. Ni upumbavu kuunga mkono matumizi haya yahovyo ya pesa za serikali

Ugonjwa wa utapiamlo ni mbaya sana na madhara yake huwa yanaenadelea kwa mtu aliyeathirika utotoni!
 
Wabunge watakaochaguliwa nao watajiuzuru ifikapo juni 2018 na kuhama vyama vyao [emoji2] [emoji12] [emoji35]

Demokrasia is expensive katiba yetu inaruhusu uhuru wa mtu kujiunga na kujitoa, huwezi kuzuia na ukisema uzuie hiyo siyo Demokrasia! Kama hamtaki watu wahame vyama kutoka huku kwwnda kule tukubali na tuweke Serikali ya Kidikteta hapo hatutakua na vyama vya siasa lakini kama vyama vipo tukubali hayo ndiyo matunda ya Demokrasia.
 
Ndio gharama za demokrasia hizo
Ukipenda boga basi penda na ua lake
 
Unaokoteza maneno tu, kama mgombea hakubaliki hakubaliki tu usilazimishe maji kupanda mlima

Acha utoto ww, unaposema mtu hakubaliki ni kwamba anapata kura 0 na yule anayeshindana naye anapata kura zote ama?
 
Ugonjwa wa utapiamlo ni mbaya sana na madhara yake huwa yanaenadelea kwa mtu aliyeathirika utotoni!
Zaid zaid nakuona mjinga na mpumbavu kutetea ujinga unao liingiza hasara taifa kwa kisa tu limefanywa na chama chako unacho amini kipo sahihi wakati wote na kwa kila kitu ,nimekudharau tu itoshe kukwambia hivyo.
.
 
Lazaro Nyalandu unaligharimu taifa
Sio nyalandu peke yake , nyalandu na kundi lake lote wanao acha ubunge bila sababu za msingi wakati walio wachangua kwa kura ni wananchi huu ni upumbavu , tunawapotezea mda wananchi kukaa mistari mirefu bila sababu.
 
Hakuna mwenye uwezo wa kununua wapinzani, wanaondoka wenyewe! Ushauri hayo maneno uliyoyatoa kwa Rais ni dharau na ukosefu wa adabu! Unaonekana hata wazazi wako huwaheshimu!
Nakuzarau ww mpaka yeye, si kila mtu napaswa kumuheshimu yule bwana mdogo sana aiseee kwangu
 
Mimi kama MTANZANIA MZALENDO napendekeza hizo pesa (Tsh 3.1 B) zielekezwe katika Elimu ya watoto wetu na kuongeza huduma bora za Afya na madawa kwa Wananchi. Sioni sababu ya pesa zote hizo kutumika katika uchaguzi wa marudio wakati upande wa pili wamesusia uchaguzi huo.
Tufanyeni kazi kwa bidii pamoja kujenga Taifa letu na kutokomeza UFISADI wa Mali za umma na rasilimali zetu kwa ujumla. [HASHTAG]#SiasaMpaka2020[/HASHTAG].
 
hasara za kutengenezwa...ujiuzulu ubunge halafu ugombee tena !ni kuitia nchi umasikini,ni kuhujumu uchumi !
 
Back
Top Bottom