Pesa si inarudi kitaa mzungukoni?, grisi kidogo hiyo pokeeniWashindi tunawajua ya nn tunapoteza ela hv
Kuna wa shule ya msingi mkoani singida wilaya ya iramba kata ya ndago hutumia zaidi ya KM 5 kufika shuleni
Magu anaropoka hovyo na kununua wapinzani maandazi hizo fedha angejengea shule ngapi
Acha tamaaa mtoto mdogo unakua na roho ya shetani umejawa na mawazo ya kuiba, wewe ukipewa uongozi unauza nchi, unafikiri kila mtu ni mpigaji kama wewe!
Kailima umeumia baada ya watu kusema wewe ni mpigaji?
Uzuri ni kwamba vyama vinavyojielewa havitoshiriki huo upuuzi.
CCM imelaaniwa sana
Vyama naona vimechoka viko ICU 2020 wasije kabisa waone!
Muulize slow slowKwa kumfukuza Nyalandu au kwa Nyalandu kujiuzulu?
Wewe kapuku wa kijijini huko unajua nini kuhusu ununuzi wa wapinzani unao fanyikia arusha? Unadhan ununuzi wa upinzan wanatangaza zabuni kwanza redioni?? Au wanaitisha kikao cha wananchama kwanza?acheni unafiki taifa lina mahitaji mengi sana ya masingi lakin pesa nyingi zinapotelea kuhudumia wanasiasa ,taama ya madaraka inaliingiza taifa hasara kubwa kila siku, mmejikita kujenga chama kwa njia haramu badala yaa kuhangaika na matatizo ya watanzania. Ni upumbavu kuunga mkono matumizi haya yahovyo ya pesa za serikaliHakuna mwenye uwezo wa kununua wapinzani, wanaondoka wenyewe! Ushauri hayo maneno uliyoyatoa kwa Rais ni dharau na ukosefu wa adabu! Unaonekana hata wazazi wako huwaheshimu!
Umejuaje na yeye mpigaji?Acha tamaaa mtoto mdogo unakua na roho ya shetani umejawa na mawazo ya kuiba, wewe ukipewa uongozi unauza nchi, unafikiri kila mtu ni mpigaji kama wewe!
Wewe kapuku wa kijijini huko unajua nini kuhusu ununuzi wa wapinzani unao fanyikia arusha? Unadhan ununuzi wa upinzan wanatangaza zabuni kwanza redioni?? Au wanaitisha kikao cha wananchama kwanza?acheni unafiki taifa lina mahitaji mengi sana ya masingi lakin pesa nyingi zinapotelea kuhudumia wanasiasa ,taama ya madaraka inaliingiza taifa hasara kubwa kila siku, mmejikita kujenga chama kwa njia haramu badala yaa kuhangaika na matatizo ya watanzania. Ni upumbavu kuunga mkono matumizi haya yahovyo ya pesa za serikali
Wabunge watakaochaguliwa nao watajiuzuru ifikapo juni 2018 na kuhama vyama vyao [emoji2] [emoji12] [emoji35]Bilioni 3 kutumika uchaguzi wa marudio
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kuwa jumla ya Sh bilioni 3.1 zitatumika kwenye uchaguzi wa marudio ambao kampeni zake zimeshaanza.
Uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Januari 13 mwakani, kampeni zake zilianza tangu juzi kwa majimbo ya Singida Kaskazinina Longido wakati Jimbo la Songea Mjini kampeni zitaanza leo.
Kampeni hizo zitakamilika Januari 12 ikiwa ni siku moja kabla ya uchaguzi kufanyika. Akizungumza na HabariLeo jana, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ramadhan Kailima alisema kuwa gharama hizo zitahusu majimbo matatu na kata sita.
Wakati Tume ikieleza gharama hizo za Sh bilioni 3.1 za uchaguzi mdogo, jana Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju alinukuriwa akisema kuwa serikali imeokoa Sh bilioni 156 ambazo zingetumika kugharamia uchaguzi wa marudio endapo serikali ingeshindwa kesi 53 zilizofunguliwa kupinga matokeo ya ubunge wakati wa uchaguzi mkuu uliopita.
Fedha hizo zimeokolewa kutokana na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufanikiwa kushinda kesi 52 na kushindwa kesi moja na hivyo kuokoa mabilioni hayo ya fedha. Akizungumzia uchaguzi katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na Siha mkoani Kilimanjaro ambayo pia yapo wazi kutokana na wabunge wake kujiuzulu, Kailima alisema mipango ya kuitishwa kwa uchaguzi ipo katika hatua za mwisho.
Alisema tayari NEC imeshapata barua kutoka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuieleza kuwa majimbo hayo yapo wazi na hivyo taratibu za kufanya uchaguzi wa marudio kwenye majimbo hayo zinaendelea. Alisema tume hiyo itakutana baadaye kutoa utaratibu kuhusu kufanyika kwa uchaguzi kwenye majimbo hayo mawili kwa kuwa kwa sasa wajumbe wengi wa Tume wako mikoani kikazi.
Alisema haitachukua muda mrefu utaratibu huo kutolewa kwani wanatarajia kukutana kati ya mwezi huu na Januari mwanzoni. Uhaguzi wa marudio kwa Jimbo la Longido unatokana na Maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kutengua ushindi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Onesmo Ole Nangole.
Kwa Jimbo la Singida Kaskazini, uchaguzi huo unafanyika baada ya aliyekuwa Mbunge Lazaro Nyalundu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujivua uanachama wa chama hicho pamoja na kujiuzulu ubunge wake na kujiunga na Chadema, wakati Jimbo la Songea Mjini uchaguzi unafanyika kutokana na aliyekuwa Mbunge jimbo hilo, Leonidas Gama kufariki dunia mwezi uliopita.
Jimbo la Kinondoni lipo wazi kufuatia aliyekuwa Mbunge wake, Maulid Mtulia (CUF) kujivua uanachama wa chama hicho na kujiuzulu nafasi zake ikiwemo ubunge Desemba 2, mwaka huu. Kwa jimbo la Siha aliyekuwa Mbunge wake, Dk Godwin Mollel naye alijivua uanachama wa Chadema na kujiuzulu nafasi zake zote ikiwemo ubunge na kujiunga na CCM hivi karibuni.
Bilioni 3 kutumika uchaguzi wa marudio

Hamna jipya, hata hiyo 2020 mtaishia kutegemea jeshi ili kubaki madarakani. Na sasa hivi ndio kabisa siasa za ushindani hamuwezi ni kusaka tu wanaosema vyuma kukaza. Ni hivi maisha ya wananchi ni magumu ile mbaya kutokana na sera zinazotekelezwa kimabavu, ndio maana unaona jeshi linatumika zaidi kuhakikisha uhai wa ccm.