WAchina hawamsaidii mwafrika bali wanazidi kumuharibia kwasababu ya kutuletea vitu visivyokuwa na ubora. ni bora waje wamarekani ambao watatuuzia vitu kwa ghalama kubwa lakini vitakuwa na ubora mzuri.
bila mchina vitu vngemilikiwa na wachache!! unadhani vtu original hakuna!!? but mtu anaenda dukani anaacha original anachukua mchina!! chezea mchina weye!! kwa mmarekan unapata simu moja lakini kwa mchina unapata simu mbili tena double line!!!WAchina hawamsaidii mwafrika bali wanazidi kumuharibia kwasababu ya kutuletea vitu visivyokuwa na ubora. ni bora waje wamarekani ambao watatuuzia vitu kwa ghalama kubwa lakini vitakuwa na ubora mzuri.
Mtabaki hivyohivyo na mawazo finyuHuyo Mmarekani mwenyewe hana lake sasa nategeme mchina kwa bidhaa hata makampuni yao yanatengenezesha vitu vyao China na kukuuzia wewe hapa kwa bei ghali. Mchina ni mkombozi kweli
Sisis tumeshindwa wenyewe! Kama sio kuua viwanda vyetu sasa hivi vyote vinavyoletwa na mchina tungekuwa tunatengenea. Pamoja na yote mchina yuko juu mno! Waafrika tunapenda vitu rahisi mchina huyo huyo anauza simu europe, marekani na quality yake iko juu! HONGERA MSHINWAA KWA KUWAJALI WATZ!
wanshao hao,Kwa mapenzi yangu na kwa ajili ya watz wenzangu wote natoa ahsante kwa mchina kwa kurahisisha maisha ya waafrika. Kama ni saa, simu, vyombo, bodaboda nk tusingeweza kumudu gharama zake kama zingetoka usa/japan/uk/etc. Ahsante kwa mchina once again...