Hauna nyota wewe..Nimeamini humu fix nyingi asee[emoji16][emoji16]...mimi nina hiyo HALOTEL nimecheki sasa hivi nakuta 240mb kwa buku[emoji849][emoji849][emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nyota![emoji849][emoji849][emoji57][emoji57]...inaonekana unashinda kwa mtoto wake sheikh yahaya wewe...zungumzia uhalisia!Hauna nyota wewe..
Mimi hii huduma nimeilamba tangu Ramadhani nimejaza 1TB HDD kwa kudownload tu
Kwa 6hrs nalamba 39-48GB mpaka nimeichoka[emoji19][emoji19][emoji19]
Kitonga kwa maana ya kupanda ama kushuka slope?[emoji28][emoji28]Mzee watatoa bure maana huo mzigo waliachia toka kipindi cha Ramadhan wanaita Ramadhan offer sasa mpaka leo hawajatoa ko ni mwendo wa kitonga tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Roughly unadownload GB 7 kwa hio speed. Unless unamaanisha 2.9MBps ambayo nayo pia ina ukakasi kuiamini.
Hivi ndo niache kulala nisubiri viofa vya usiku huo kama mwanga hyo hapanaHope mko poa hii of a sijui ipo kwangu tuu halotel kuna bundle wameniwekea kuanzia SAA 6 usiku
Unajiunga kifurushi cha 1000 unapiga halotel bila kikomo na wanakupa mb bila kikomo mpka SAA 12
Aisee unadownload mpaka unachoka
Napakua games,movie,software, music's, speed yako ni 2.9mbs
Natumia modern ya 4G huawei universal
Shikamoo halotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana zimewekwa usiku ili kupunguza raia kama wewe hapo ulivyojipunguza! Mkiwekewa mchana si mtawa labua sana MB zao. Kuna watu walio off kazini watafilisi kampuni kwa downloading!Hivi ndo niache kulala nisubiri viofa vya usiku huo kama mwanga hyo hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106]Wewe mtoto vipi unapigapiga makelele?
aina gani ya modem?Hope mko poa hii of a sijui ipo kwangu tuu halotel kuna bundle wameniwekea kuanzia SAA 6 usiku
Unajiunga kifurushi cha 1000 unapiga halotel bila kikomo na wanakupa mb bila kikomo mpka SAA 12
Aisee unadownload mpaka unachoka
Napakua games,movie,software, music's, speed yako ni 2.9mbs
Natumia modern ya 4G huawei universal
Shikamoo halotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ameitajam
aina gani ya modem?
ipiMbona ameitaja
"Natumia modern ya 4G huawei universal"
Sorry nitumie picha"Natumia modern ya 4G huawei universal"
Mimi sio mhusika, nilikuwa najibu swali lako tuSorry nitumie picha