Shikamoon Wanawake

HONGERA Sana mkuu wanaume kama wewe ni wachache. Kuna research moja niliona mahali inasema wanaume wanao saidia wake zao na shughuli za ndani huwa wanapata "sex"zaidi ya wasio saidia kabisa.

Kuna raha fulani hivi pale wewe na mwenzio mnaposaidiana.
Najua kilichokusukuma kumsaidia mwanamke wako kazi ni kupewa papuchi "frequently".....
[emoji87] [emoji86] [emoji85] oooops me!
 
Hii picha inawalenga wanawake maskini hasa waishio vijijini na baadhi ya mjini!

Mnataka kuniambia hadi Mke wa Bahkresa na Regnald Mengi inawahusu?
 
Hii picha inawalenga wanawake maskini hasa waishio vijijini na baadhi ya mjini!

Mnataka kuniambia hadi Mke wa Bahkresa na Regnald Mengi inawahusu?
Hao wanawake wa vijijin wanaopata shida ni Wengi kuliko hao wanao pata izo Raha

Na ndio mana Huyu Mama amevaa husika wa Wanawake wengi waishio ktk mazingira magum
 
Wanawake ni nguzo ya familia - ukimpata bora muangalie kama jicho lako
 
Wanawake wanavumilia mengi laiti mioyo yao wangepewa wanaume wasinge vumilia hataa [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
KUZAA.....KUMLIWAZA MUME....na KUPIKA....Baaaassiiiii, hayo mengine ni kujitakia
 
Hata biblia inasema, mwanamke siyo kijakazi wako bali ni msadizi wako.
God bless the women.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…