Shikamoo wanaume

Kwa Bahati sana , Mitazamo ya waafrika kuhusiana na mahusiano uwa yanaegemea sana ktk uhakika wamaisha.

Mwanamke Wa Afrika ndio Mwanamke pekee ambaye Atajua Mumewe anachepuka lkn Asichukue hatua yoyote !!.

Anashindwa hata kumuuliza *Ulitumia mpira?*
Matokeo yake ,mwanamke wakiafrika ameishia kua naye mfuasi Wa Mfumo dume !!.


Siku mkipata nguvu ya kuhoji ,,vilio vyenu vitapungua !!.
 
Huyo naye ni bwege
 
Kama kazi yako nikunipashia viporo ndio chakula cha jioni huku nyumba chafu na unyumba ndio hivyo unautoa huku ukinung'unika tena round moja tu na mazungumzo yetu kazi yako kunibishia tuu sasa mimi nifanyaje!!?
 
Wenyewe wanausemi kuwa hata urudi saa kumi alfajiri ulilala nyumbani.
Ikisha fika saa 6:01calendar inabadilika sio tena siku hio hio.
 
Wenyewe wanausemi kuwa hata urudi saa kumi alfajiri ulilala nyumbani.
Ikisha fika saa 6:01calendar inabadilika sio tena siku hio hio.
Unaambiwa kwani hii nyumba ilijijenga yenyewe tunatafuta pesa mama
 
Ungejuwa huko wanakochepukia hata jiko la mchina hakuna usingesema.

Kufanya shurti godoro ushushe chini, kitanda ndo hivyo.

Wanaume wasikie hivyo hivyo.
 
Shikamoo yako pia Dada Sky, sina shaka sana kuhusu akili zetu sisi Wanaume.

Namshukuru Mama Mkwe wangu, alimuambia mke wangu (mwanae) akimuhusia kuwa, Mwanaume ni kama mtoto mdogo, hivyo tunakosea mara kwa mara, ni jukumu lake kunivumilia na kunisamehe makosa yangu.

Huwa tunaishi kwa Wosia huo.

Akili zetu huwa ziko Machoni, na sio katika Ubongo..!
 
unjitahidi upo vizuri... ndiyo maana ghorofa unalijenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…