Shikamoo vyombo vya Ulinzi na Usalama

Shikamoo vyombo vya Ulinzi na Usalama

sentino2015

Senior Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
176
Reaction score
30
Nasema shikamon!

Salam ya heshima Kabisa kwa Jamii ya sisi waswahili!nimetafakari kwa Yale yanayoendelea nchi jirani!nikalinganisha na Hali ya utulivu ya nchini hapa nagundua kuwa zipo jitihada zinazofanyika na vyombo vyetu vya Usalama.

2. Usiri wa baadhi ya raia kuwaficha waharifu ni Jambo ambalo hali wezi kutusaidia kinachotakiwa,tushirikiane.

3. Dhana butu kudhani jukumu la Usalama ni wana Usalama tu naona laweza kuleta madhara baadaye!

Ndicho nilimaanisha am sorry kwa usumbufu.
 
Mkuu mbona ujaelewa point yako ni hipi sasa..??
 
Mi sijaelewa, labda ngoja nisubiri wengine waje kunifafanulia
 
Ungetulia uandike maneno kwa usahihi nadhani ungeeleweka zaidi au ungeisoma kabla ya kupost
 
sentino2015 may be unapoint ya msingi ILA elewa kuwa madhaifu yako kwenye vyombo vya usalama vyenyewe vinavyoongozwa na makada wa CCM... Wananchi huwa wanapenda sana amani lakini tumeshuhudia jinsi ambavyo maisha yao yanavyokuwa mashakani kwa wahalifu kupa info zote zitokazo kwao ...tumeshuhudia watu wakiuuawa kuwalinda wezi wa rasilimali zetu...tunashuhudia wananchi wakifungwa jela miaka mingi ili kulinda wahalifu mnaowaita wawekezaji! inatia kinyaa zaidi pale ambapo Rais anafuta hati ya ardhi lakini vyombo vya usalama vinaendelea kumlinda mhalifu... itoshe kusema credibility ya vyombo vya usalama imeharibiwa na wacheza movie Chagonja et al... suala la ugaidi kwa Tanzania halipo ila inalazimishwa tu! motives ya ugaidi itakuwa ni nini? makabila yana oana yanazaliana, wakristo waislam wanazaliana kila siku... game la magharibi linaratibiwa na vyombo vya usalama vya kiafrika kwa tamaa ya fedha...fuatilia matukio yote kwa ukaribu the utajua kinachoendelea...
 
Mkuu hawa woote hawakusingizii...tulia ukiandika kitu..kima una viroba subir viishe kwanza....
Nilikuwa sijaona kumbe ni mgeni ndio maana. Tumsamehe bure. Achukue kwanza tution ya jinsi ya kuandika humu. Huenda pia anatumia ka mchina na hivyo herufi kuruka.
 
Nilikuwa sijaona kumbe ni mgeni ndio maana. Tumsamehe bure. Achukue kwanza tution ya jinsi ya kuandika humu. Huenda pia anatumia ka mchina na hivyo herufi kuruka.

Ah ah ah ah mkuu uko deep ushamchunguza tayar...ok tushamsamehe
 
Atakuwa anaumwa ngiri hahahahah!ama uchovu tu na iPhone na mchezo wake kuchapa maneno dhania asipoyashtukia yanatokea hivyo hivyo na kupoteza maana!pole Mkuu Mwenzangu pumnzika
 
Mbona ameeleweka Tu.Anasifu kazi kubwa inayofanywa na vyombo vyetu vya usalama.Anawataka PIA raia kuwa na ushirikiano katika kutoa taarifa wanapohisi Kuna kundi au kikundi kinachojaribu kuleta fujo.
 
Nimeombe Aludie Mada Na Aipange Vizuri, Ndipo Tutaanza Kuchangia.
 
TAARIFA:
Kufuatia taarifa za kuupelelezi usiku wa saa 6 maofisa usalama mkoani Dsm walivamia nyumba moja iliyopo magomeni na kukamata watu nane wanaume saba( wawili wana asili ya kisomalia) na mwanamke mmoja wakiwa na silaha aina mbali mbali ikiwemo bunduki 5 aina ya AK 47 pamoja na bastola 4 za kivita na mabomu ya mkono 30. Na pia walikuwa na magari matatu Noah moja na Gx 100 mbili zimepaki nje. Vile vile wamekamata nyaraka mbalimbali pamoja na ramani za chuo cha usimamizi wa fedha, ifm. Watuhumiwa wanashikiliwa kwenye vituo tofauti tofauti kwa mahojiano zaidi. Wananchi wanaombwa kutoa taarifa Mara moja Police viashiria vyote vya uhalifu. CHUKUENI TAHADHARI

Nimefoward kama nilivyopokea.
 
Man City waleee, wapuuzi waleee.... Wanacheza hovyo hvyo walee.... Wanawayawaya tuuu... Sijui wamekula maharage ya wap waleee... Wanalewalewa, wanakua kama watoto wadogo, waliovaa pampas.... Pelegrini mpuuzi yuleee... Nlikua namheshimu xana.... Lakini naye anawayawaya tuuu, anafanya vitu hovyo hovyo tuuu... Kama wachezaji wakee waleee.... Na mm nasemaaa, "Naakomeeeeeee kuja OLD TRAFFORD...."
 
Back
Top Bottom