Shikamoo mzee KENYATA

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,729
Reaction score
19,466
haya ni maneno ya mzee Jomo Kenyata
 

Attachments

  • 1446204522819.jpg
    13.7 KB · Views: 329
  • 1446204553525.jpg
    30 KB · Views: 541
Nilikwisha sema sisi wa TZ ni viumbe wa tofauti katika upande huu wa Dunia.
 
Ni nchi pekee ambayo kasi ya uelewa wa watu wake inakua kwa kiasi kidogo sana, na hii ni mtaji mkubwa sana kwa wanasiasa wa CCM maana wanajua wakiwaelimisha watu hawa hawata tawala na hii ndiyo inawafanya wanadumaza elimu kabisa, kudumazwa kwa elimu kwa CCM ni jambo la kimakusudi kabisa ili waendelee kututawala hasa raia walioko vijijini, huu ndiyo ukweli.
 
Bila kumung'unya maneno mtaji ni vijijini kiuchumi na hata kwa kupata kura ktk chaguzi huko ndiko pakuwekeza sasa ukidharau kundi kubwa hili na ukadhani watu wa miji mikubwa ndio utafaulu umefeli poleni ukawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…