[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Za mda huu wana Jf,
Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kua na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar.Sababu na msimamo ni za kwangu na wengi walilifaham hilo.
Chaa ajabu...Hivi ninavyoandika hapa nimeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 3 tena na baba tofautitofauti na hapa amenipa ushauri anataka nimfungulie bar ili tuendelee kuingiza kipato.
NAOMBA USHAURI
Jamaa umenichekesha sana kitamu kamwe hakionjwi kuwa makini next timeZa mda huu wana Jf,
Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kua na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar.Sababu na msimamo ni za kwangu na wengi walilifaham hilo.
Chaa ajabu...Hivi ninavyoandika hapa nimeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 3 tena na baba tofautitofauti na hapa amenipa ushauri anataka nimfungulie bar ili tuendelee kuingiza kipato.
NAOMBA USHAURI
Za mda huu wana Jf,

hahahahahahahaha pigo takatifu hili mamaeeeeZa mda huu wana Jf,
Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kua na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar.Sababu na msimamo ni za kwangu na wengi walilifaham hilo.
Chaa ajabu...Hivi ninavyoandika hapa nimeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 3 tena na baba tofautitofauti na hapa amenipa ushauri anataka nimfungulie bar ili tuendelee kuingiza kipato.
NAOMBA USHAURI
Pole sana Mr mgeni. Yaani ghafla umekuwa mgeni na wanawake Wa Bar?Za mda huu wana Jf,
Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kua na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar.Sababu na msimamo ni za kwangu na wengi walilifaham hilo.
Chaa ajabu...Hivi ninavyoandika hapa nimeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 3 tena na baba tofautitofauti na hapa amenipa ushauri anataka nimfungulie bar ili tuendelee kuingiza kipato.
NAOMBA USHAURI
fungueni tu bar, safari hii atazaa vinywaji vya viwanda tofauti. Hii ni nchi ya viwanda meeeeeeeeeenZa mda huu wana Jf,
Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kua na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar.Sababu na msimamo ni za kwangu na wengi walilifaham hilo.
Chaa ajabu...Hivi ninavyoandika hapa nimeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 3 tena na baba tofautitofauti na hapa amenipa ushauri anataka nimfungulie bar ili tuendelee kuingiza kipato.
NAOMBA USHAURI
Anawaza viapo vyakeAhahaa kwani kuna shida?
Kwa kweli hapa nilipo nahisi sijielewiWe hujarogwa leo ulirogwa kabla hujazaliwa, unajua kwanini?
Kwanza kabisa unaomba ushauri wakati ushavunja kiapo chako mwenyewe
Pili hueleweki unaomba ushauri upi wa kumfungulia bar au wa kuendelea kuwa nae
Tatu ulishakosea kujiapisha eti huwezi kuwa na mwanamke alozaa au wa bar kwani hujui kuwa nao ni binadam na wamezalishwa na kutelekezwa na wanaume?
Nne bado unaamini kuwa wafanyakazi wa bar ni malaya kuliko wa maofisini!!. Kweli utakuwa umerogwa tena sio Kidogo!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] eti superglue dunia INA mambo ila si ndo upendo wenyeweCheza na vyote ila sio papuchi mkuu..... kuna madem km wanasupa gruu kule chin lazima unate kudadeq