Shikamoo Magufuli

Duh hicho kipande ni kibaya sn alafu kuna kona na ni magari makubwa yanapita kuelekea Rwanda na KARAGWE ni aibu sn
 
mie nimepita tarehe 9/9/2015, kweli hicho kipande ni kibovu. TANROADS mka kagera wanaendelea kukarabati kuanzia nyakahura mpaka nyakanazi. ila kumbuka shughuri ya ujenzi wa barabara haijakwisha inaendelea.hatukatai magufuli si malaika but kwa vipimo vya kibinadamu ni bora kuliko lowassa.
 
Naomba munipe kura za ndiyo jamani sababu sitawaangusha.. Nasema tena sitawaangusha....Katika serikali ya awamu ya nne ya muheshimiwa jakaya murisho kikwete tumetengeneza zaidi ya kiromita erifu 21 kwa kiwango cha rami kwa pesa zetu za ndani bira kutegemea wafaziri wa nje... jamani nasema sitawaangusha...
 
Makufuli ni msafi hana kashfa!

Kwa hiyo zile nyumba walizopeana ni kashfa yako..??
Kwa hiyo wale samaki na meli tuliyolipishwa ilikuwa kashafa yako..??
Kwa hiyo kulipishwa na vituo vya mafuta pale mlimani city na Mwanza ilikuwa kashfa yako..??
 
Teh tehe teh tehe ......... hivyo ndo wananyo mtetea Magamba wenzake kuwa ati yeye sio fisadi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…