Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Hahaaa kamuone daktari maana itakuwa jogoo hawiki![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mm mwenyw nimejiuliza sana au 4G lite anataka kutukatisha tamaa ya kumpata cyliy![]()
![]()
kamikazeeeHahaaa kamuone daktari maana itakuwa jogoo hawiki![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mm mwenyw nimejiuliza sana au 4G lite anataka kutukatisha tamaa ya kumpata cyliy![]()
![]()
kamikazeeeHahahaaaa ukiskia paaa, Uzi mwingine Kama huuelewi kaa kimya sio lazima uchangie utumbomfa maji haachi kujitapa
WTF are you talking about? who is mkosaji? kukukosea wewe au nani? thats my opinion and not yours and then you say mm mkosaji. Nimekosa mini?Maneno ya mkosajii![]()
![]()
daah kweli Dinazarde kawatoa mapovu wengii mm kila nikiona comment ya me siishi kucheka
![]()
![]()
![]()
Wanaume wako hivo Mimi kuna siku nilikuwa naangalia movie Fulani ya William levy na mpenzi nikasema huyu mkaka nampendaga nilipigwa Kofi moja hilo sitosahau , yaani sijui wapoje![]()
![]()

nafkiri kilichofata ni kufunga bakuli lako..
bina nimetoka kumfollow singida boy,bwana weeee...!!neema za Allah hazijampita..!!Inaelekea unamkubali Sana jamaa Kama upo hapa mjini kati siku za mwisho wa wiki ukipata nafasi nichek inbox nikuelekeze uje Kijiwe chetu cha wakacha au wakali wa dresscode upate hata picha na jamaa yuko poa sana hii ni kwa mrembo yoyote anayetaka picha na jamaa
Wow, his smile tho

Nakoma kwani kwa huyu kakanafkiri kilichofata ni kufunga bakuli lako..
nipigwe tu hakuna namna

Kama jlo alisaliti ndoa...!!
Huyu kaka acha kasambaratisha ndoa za watu wengiKam jlo alisaliti ndoa...!!
Heheheh kumbe ulikua hujamfollow khaaa ulichelewa aiseee mi mahandsome wote nimewafollow hadi levy![]()
![]()
bina nimetoka kumfollow singida boy,bwana weeee...!!neema za Allah hazijampita..!!
Hao wasitupe presha ngoja na sie tuienjoy kwa kweli!




Mi picha ninazo nachotakani ,........... heheheheheheh (natania msijenniuaInaelekea unamkubali Sana jamaa Kama upo hapa mjini kati siku za mwisho wa wiki ukipata nafasi nichek inbox nikuelekeze uje Kijiwe chetu cha wakacha au wakali wa dresscode upate hata picha na jamaa yuko poa sana hii ni kwa mrembo yoyote anayetaka picha na jamaaView attachment 394925