Shikamoo Kamikaze

Shikamoo Kamikaze

Wanaume tucheze Fair play jamani, huu mchezo hauhitaji hasira. Naona wengi mnachuki ya mwenzetu kusifiwa na watoto wa kike. Mbona sisi tunawasifiaga wakina wema, jokate, nk wao wanakaaga tuliii. Some times huwa tunasifia mat.ako yao nk wao wanatuliaga tuliii.

Piaa wahenga (wahenga wa siku hizi siyo wa zamani) kila biaahara ina mteja wake. So play calm. Huu mchezo hauhitaji nguvu.
 
Weka pic tukuthaminishe
Mabonge.jpg
 
Kila Mwanamke ana Fantasy yake cha Ajabu kuna wake za watu wataliwa na huyo jamaaa na Hoteli watalipia haha
 
Halafu wanaume wengi mmemaimdi... lakini mbona tukiwasifia kina Wema,Zari, Huddah wanawake huwa wanatulia tuu...

saa sahzi mara mseme ushoga mara nini..
Wanaume wako hivo Mimi kuna siku nilikuwa naangalia movie Fulani ya William levy na mpenzi nikasema huyu mkaka nampendaga nilipigwa Kofi moja hilo sitosahau , yaani sijui wapoje
 
Ulisema hivyo mbele ya shemeji
 
Wanaume tucheze Fair play jamani, huu mchezo hauhitaji hasira. Naona wengi mnachuki ya mwenzetu kusifiwa na watoto wa kike. Mbona sisi tunawasifiaga wakina wema, jokate, nk wao wanakaaga tuliii. Some times huwa tunasifia mat.ako yao nk wao wanatuliaga tuliii.

Piaa wahenga (wahenga wa siku hizi siyo wa zamani) kila biaahara ina mteja wake. So play calm. Huu mchezo hauhitaji nguvu.
Waambie hao
 
Wanaume hawapendi kupitwa ila huo ndo ukweli jamaa mtanashati wallah Duh! Namnukuu mtoa post "Mungu Fundi" kajaaliwa mtoto wa watu pongez kwa anayemkaza kwa kweli wengine sie tunawatu wana manywele mpaka kudako
umenichekesha sana
 
Back
Top Bottom