100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 3,889
- 13,006
Ukiwepo mgao kama wa Tanesco, leo mvua kesho jua, au siku 3 jua kali, siku 3 mvua ya elinino...Mkuu, Bora mvua aisee.
Hii ita balance, ujue kila moja ina hasara na faida.
Ukiwepo mgao kama wa Tanesco, leo mvua kesho jua, au siku 3 jua kali, siku 3 mvua ya elinino...Mkuu, Bora mvua aisee.
Kwenye naniliiuSasa jua linawachomea wapi!!?
😁Huyu mzee, umenikumbusha mbali sana, James brown huyu na nyimbo yake ile I feel Good, mwaka 1970 huo natoka Arusha kwa mjomba nikielekea Dar Es salaam masomoni. Japo hii nyimbo ilitoka 1964 lakini hadi leo ikipigwa watu wanasimama.
Nyimbo nyingine ni it's man's man's world mwaka 1966 imetoka, dah umenikumbusha enzi za ujana wangu mkuu.
Mzee natania 1970 sikuwepo.