Shikamoo Hallotel

Laini zao zinapatikana wapi kwa dar na bei yao kwa mwezi mzima ni ngapi?

Laini zao bado hazjaanza kuuzwa,, kwa sasa wanatumia wafanyakaz wao (mawakala),,ila unaweza kupata km una rafk yako pale halotell..km vp tar 15 october usicheze mbal kuna uwezekano wakazitoa bure kwa siku hyo
 
watu wengi hawatokimbilia Huko leo wala kesho
Labda kwa watumiaji wa Data kwenye PC ndo wepesi kuamia huko

Faida ya hawa jamaa hata sisi tunaotembea vijijini huku tutaweza pata Mtandao wa kutupa 300KB/sec wakati wa ku download

Watu wanahama kufuata huduma za kupiga simu na kutuma sms.

Wanaohama kwasababu ya data ni wachache sana.

So hawa jamaa wakitaka watu wengi waanzie kwenye vifurushi vya kupiga na kutuma sms.
 

Kwanza 4G ni anasa kwa Tanzania.

Kuna sehemu hapa Tanzania hata hii mitandao haijafika sasa uwawekee 4G nani atatumia huko.?
 
Wadau leo nlikuwa kwa wakala fulani huku Moshi (Marangu) nikajaribu kutumia line yake ya Halotel na kujaribu speed, matokeo yake yalikuwa safi sana kama attached screenshot inavyoonesha
Kuna user wangapi ww utakuwa sio IT kabisa soma things affect bandwidth ndio utajua unaongea utumbo tu
 
Kuna user wangapi ww utakuwa sio IT kabisa soma things affect bandwidth ndio utajua unaongea utumbo tu

kaka mimi nimeongea utumbo kivipi tena?? mimi nilitoa results za speed test niliyofanya bila kuangalia bandwidth wala customer base, hivyo tutaviconsider baadae pale Halotel watakapokuwa na wateja wengi.. By the way mimi sio IT ni mtumiaji wa kawaida wa mtandao tuu.
 
Laini zao bado hazjaanza kuuzwa,, kwa sasa wanatumia wafanyakaz wao (mawakala),,ila unaweza kupata km una rafk yako pale halotell..km vp tar 15 october usicheze mbal kuna uwezekano wakazitoa bure kwa siku hyo

Watazitoa bure nchi nzima au?
 

Hiyo sasatel unajua iliishia WAP, hao ni tofaut kabisa
 
Aisee wakuu namie nataka hii line nibwede hizo gb5 jamani kabla cjaanza kunyonywa plzzz,napataje???
 
kuwa muelewa ndugu yangu, huwezi kuwa na 4g kwa Dar tu wakati 3g imekushinda. Inshort hawa 4g wamekurupuka. Wataweza kusambaza 4g wakati 3g tu imewashinda?
Kama halotel kaweka 3g mpaka vijijini hatuna budi kumpongeza.

Safi sana
 

Tatzo la 4G ya tigo ni hayo masharti yao
1. Lazma u swap line.
2. Gharama ya kifurushi cha 4G.
3. Ukisha swap to 4G kifurushi pekee cha data utakachotumia ni cha 4G ht km utakua huna coverage ya 4G ukipata 3G lazma kifurushi kiwe kile cha 4G. ( hapa ndio sipataki yani no option kwenye kifurushi)

Nilikimbilia kununua simu ya gharama kwa ajili ya 4G ila baada ya kuiona hayo masharti nmebaki kwenye H+ tu.
Tigo Tanzania correct me if I m wrong.
 
Last edited by a moderator:
Simu za halotel, zina nembo ya halotel nyuma tu
Inachukua line mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…