Shikamoo Filters..

Mkuu haitakuwa sawa kum-expose. Huenda kuna watu wanamfahamu, ikawa rahisi kunitambua hata mimi.

Au unataka picha ya app ya filter anayotumia nikuombee kwake?
Wenzako huwa wanatuma hata picha ya kuchora kwa mkono ili kujenga taswira ya namna alivyo.
Inasaidia sana wakware kushusha tamaa zao.
 
Sasa mimi niliwahi kutana na wa hivyo, na tako akawa hana! Demu kwenye picha zake anatuma uso tu, kumbe ni mfupi kama nyundo, mwembamba na amekomaa balaa..! Katika siku nimewahi kula mbususu kwa shida ni siku hiyo..
Mkuu tunapitia mengi sana aisee
 
Mawazo ya majobless wengi...kama jina lako
 
Hahaha aseee
 
Utakufa vibaya
 
Aiseee.... ngoja nianze kuwa makini na likes sasa πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…