kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,389
- 22,947
nafsi imeumia,kwamba kama hakufa kilekipindi leo hii kunahaja gani kuendelea kumtesa ,pia amegundua aliyosema lisu enzi zile anayashughudia makampuni yakishinde kesi "kumbuka kauli ya lisu tutanyolewa nawembe bila maji(kunyolewa para), sijui unaikumbukaSi angejiuzuru wakati Lissu alivyopigwa risasi. Mbona kachelewa.
Kawaachia wanae jina la jema/heshima, maana hata biblia kheri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi Mithali 22:1Heko Balozi Polepole hakika historia itaandika
GUSA JK NA HAKIBAKI KITU KINAITWA TANZANIA!JK ndio wa kunyongwa kwanza ili Tanganyika ipate ukombozi.
Weka kati hapo watu waguse, usitishe wAtuGUSA JK NA HAKIBAKI KITU KINAITWA TANZANIA!
... unapenda kutisha wenzio, halafu muoga wa kukimbia kivuli chako mwenyewe!Weka kati hapo watu waguse, usitisje wAtu
Kwa namna ambavyo bwn. Polepole ame resign kunaacha maswali mengi na pengine with time tutaweza kupata majibu. Binafsi najiuliza - kwa nini sasa? Kwa nini ameiweka barua yake ya resignation public? Je, kuna ujumbe gani na kwa nani anataka umfikie? Maana swala la haki za binaadamu na ukiukwaji wa taratibu halina mashiko sana kwangu kwani alihudumu kwenye nafasi ya juu ya chama kipindi cha awamu ya 5 ambayo haikuwa na rekodi nzuri vilevile na haku rise voice. Maajuzi alikuwa Tanzania na akarusha akiwa amepiga picha na waziri mkuu ?? Anyway, anaeweza kutengua kitendawili hiki na atujuze.Ni lazima Magugu yatengane na ngano. Kuna watu ukiona wanafanya mambo ndivyo sivyo ilihali Mungu amewaumba kwa usahihi na uaminifu mkubwa, unabaki kuumia moyo. Unajiuliza,,hata huyu???
Niliuliza wakati fulani hapa JF, hata Mpango anashindwa kuliponya Taifa?
Watu wengine wote wanaweza wakaisaliti nchi na nikaona huyu unaweza kufanya hivyo, lakini ikitokea mfano:
1. Dr. Mpango, lazima ujiulize hata huyu?
2. Humphrey Polepole
3. Hussein Mwinyi
4. Mzee Warioba
5. Mzee Butiku
6. Lissu
7. Heche
8. Mwakubusi
9. Kafulila: yaani mpaka kesho nashangaa na nasikitika kuona mwenyendo wake.
10. Padri KITIMA
Shikamo Polepole umeandika maneno mazito, ya busara na ukweli.
KabisaKawaachia wanae jina la jema/heshima, maana hata biblia kheri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi Mithali 22:1
Vizazi yako vitajivunia kutwa Polepole!! π
Kuna mtu Anadai hajaandika polepole!Watu Bwana!
Lukas Mwashambwa je?!!Kawaachia wanae jina la jema/heshima, maana hata biblia kheri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi Mithali 22:1
Vizazi yako vitajivunia kutwa Polepole!! π
Mmezunguka sana, kumbe issue ni Uzanzibari - yale yale ya Mwalimu : Huyu anazo sifa zote tatizo Mzanzibari!Msoga lazima aambiwe historia itamuhukumu kwa madhila yote ya Tanganyika kutawaliwa tena na wageni Kwa kushirikisha kina chifu Mangungo wa kileo.
Namshauri ahamia Australia na anajua kwa nini.