Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

ccm itaendelea kutawala, jamaa kulalamika kote kule kinana kamtuliza kama mtoto mdogo analilia uji, CHALE. Basi sawa bana ERICK.
 
Hii Riwaya yoote isiyotamu inalengo la "kupuliza" baada ya "kuuma" kama hitimisho lake sio kulipwa wanaseama " it a bad dory with a bad ending"
 
Aende akatubu dhambi zake! amefanya damage nyingi kwenye familia za watu kwa story zake za udaku na uchonganishi
 
Shigongo na ujanja wote huo unadanganywa na comrade Kinana? Kamuita Luhwavi na Megji kisha kakwambia alikuwa nchi za nje ukaamini? Mwaka mzima alikuwa nje ya nchi? Sema tu kuwa umeshikwa pabaya na ccm, maana mahakama ni zao na kazi ulipewa kwa kauli siyo mkataba. Utawafanya nn wasipo kulipa? Ndiyo maana unalialia mitandaoni.
 
Kuku kashachinjwa.... Hapo kulipwa utasubiri sana Erick
 
Ruzuku ya chama kila mwezi + vyumba vya biashara nchi nzima eti hawana pesa? Umeingizwa chaka ndugu yangu
 
Naomba nikuulize swali, hivi CCM waliitisha hii tenda ya makofia na T-shirt? Walijuaje kama wewe ni muuzaji wa hivyo vitu kwa thamani stahiki?
Tenda walipeana wenyewe kimya kimya saivi anatuletea makelele
Kojoa ukalale Shigongo
 
Wewe kweli ni Mr. Porojo.


Story ndeeeefu ambayo ungetujuza kwa mstari mmoja tu.

Doroooo, mpaka nasinzia.
Faiza Leo umenifurahisha sana kwa hii comment yako
Sitaki kusema nini kimesababisha nifurahi....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimependa maneno yake kwenye paragraph ya mwisho. Hofu umetanda miongon mwa wateule wa raisi, unafiki unazidi kutawala, kujipendekeza kumezidi, watu wanampaka mtukufu mafuta kwa mgongo wa chupa, hata ile kweri haisemwi kwa kumhofia kumchukiza mtukufu, vijana uoga umetawala, hakuna tena Uhuru wa kujieleza.
Wataalam wa mitandao anzisheni hash tag ya kusema ukweri iwaendee watendaji wa serikalini. Hapo tunaweza liokoa taifa letu.
Nimeona mwingne leo kaanza kufunguka ukweri wake huko mitandaoni (polepole) asaidiwe kufikisha ujumbe kwa wateule wa mtufu.
 
Wewe kweli ni Mr. Porojo.


Story ndeeeefu ambayo ungetujuza kwa mstari mmoja tu.

Doroooo, mpaka nasinzia.
Kweli kabisa….hasa mambo ya SG kua simu ya Kinana kaisave kwa jina hilo sisi imetuhusu nini!!
Na kwa nini atumie jina la siri? kwani ni mchepuko huo?
 
Jamani hiyo heading ni ya Shigongo au ni ya mwanzilishi wa thread?

Maana kumalizana mimi nimeona bado, kesho atalia tena, kama siyo hadharani basi kimya kimya.
 
Uoga muhimu, tunaogopa kutumbuliwa jipu..mambo ya kujisifia sifia mafanikio kwenye media pia watu wameacha sio kama zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…