pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Du,pole sana mkuu ila chama chetu kimefulia Kwa sasa maana wajanja wapp wengi huko,wafanyakazi hawalipwi Kwa wakati ila jipe moyo
Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhh, ndo ubaya wa frustration na ma-stress huoAtajijua
..........................Baadaye mama Meghji na Khatibu waliondoka ofisini kwenda kwenye chumba chaKuku kashachinjwa.... Hapo kulipwa utasubiri sana Erick
wewe huwa unaandika mstari mmoja?Wewe kweli ni Mr. Porojo.
Story ndeeeefu ambayo ungetujuza kwa mstari mmoja tu.
Doroooo, mpaka nasinzia.
wewe huwa unaandika mstari mmoja?
Shigongo aache kudanganya watu au kukubali kudanganywa, hata kama ktu unauguliwa unashindwaje kujibu kama umeweza kusoma? Maana Shigongo alisema kuwa hii ishu hakiua ya jana wala ya juzi, does it mean tangu uchaguzi kuisha Kinana alikua India akiuguza ndugu???? Uongo mwingine bhana, Ok lets say Kinana hakuepo, je ofisi ya Lumumba ni Kinana peke yake aliyekua anafahamu hilo jibu? Je wale wajumbe waliotoka nje walirudi mle ndani? kwanini waliingia na kutoka? Shigongo alzima alipewa maji anywe“Eric, mimi sikuwepo hapa nchini, nilikuwa nimempeleka nduguyo kutibiwa huko India, ndiyo maana ulikuwa hunipati kwenye simu, si kwamba nilifanya dharau!”
Alikuwa anatoa dukuduku, unajua kutoa dukuduku si mchezoInategemea na maudhui.
Sasa wewe umelisoma ji hekaya hilo, mpaka mwenyewe anajistukia na kutupa kisa cha jinsi alivyoambiwa na baba'ke. Umemsoma kweli lakini?
Tatizo umejielekeza kumu oppose Shigongo, embu fikiria vinginevyo uone utapata majibu ganiShigongo aache kudanganya watu au kukubali kudanganywa, hata kama ktu unauguliwa unashindwaje kujibu kama umeweza kusoma? Maana Shigongo alisema kuwa hii ishu hakiua ya jana wala ya juzi, does it mean tangu uchaguzi kuisha Kinana alikua India akiuguza ndugu???? Uongo mwingine bhana, Ok lets say Kinana hakuepo, je ofisi ya Lumumba ni Kinana peke yake aliyekua anafahamu hilo jibu? Je wale wajumbe waliotoka nje walirudi mle ndani? kwanini waliingia na kutoka? Shigongo alzima alipewa maji anywe
Hili ni suala la kibiashara, wala si la kichama, mahusiano yaliyopo hapo ni ya Mnunuaji na Muuzaji, vikao vya ccm vinahusikaje hapo, hili nalo linakushinda kufikiriEric Shigongo kaiga tu kutoka kwa ACT Wazelendo wanavyoendesha propaganda zake kupitia Afande Sele!. Mambo yoooote yanayohusu Chama huwa yanatatuliwa kwenye Vikao halali vya Chama na nadhani pia huna deni kubwa unalowadai CCM!, Acha upotoshaji!