Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, walipanda baiskeli za wajumbe baada ya kutoka Kata ya Lugata iliyoko Kisiwa cha Kome, walipokuwa wamekwenda kukutana na viongozi wa Halmashauri Kuu za Matawi pamoja na Kamati za Siasa za Matawi na Kata
Ziara hiyo imefanyika baada ya uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM kuhitimishwa, ambapo Eric Shigongo aliteuliwa kuwania tena kiti hicho kwa muhula wa pili
Chanzo: Globaltvonline
Ziara hiyo imefanyika baada ya uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM kuhitimishwa, ambapo Eric Shigongo aliteuliwa kuwania tena kiti hicho kwa muhula wa pili
Chanzo: Globaltvonline