Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,609
Na mimi nimefikiria hivyo hivyo.Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Na mimi nimefikiria hivyo hivyo.
Hata kwenye boxing kuna kulinganisha uzito kabla ya mpambano.
Shigongo anaelewa anachosema Tundu Lissu?
UnajidanganyaHawa ndo mkulu alisema wanamwomba nafasi lakini akawakatalia akasingizia wapinzani, hawa watu wakoradhi wasifie hata unapojamba ili tu uwape favour flani.
Inawezekana anajua, anajikomba tu kwa watawala.Shigongo ndo wale 'hajui na hajui kuwa hajui'
Kumuunga mkono Lissu yakupaswa usiwe na uwezo wakufikiria kichwaniHuyu Shigongo si ni yule wa CCM alienyimwa UBUNGE pale jimboni BUCHOSA??!!!Kama ni yeye mwambieni atuache kidogo
Kumbe ni kada wa ccm?basi hayo ni maoni yake tu aendelee kula goodlife,Ameshalipwa na Ccm
Ningewashauri wausikilize wimbo wa Peter Tosh uitwao "Downpressor man"Kumbe ni kada wa ccm?basi hayo ni maoni yake tu aendelee kula goodlife,
Wasomi ndiyo waliotufikisha here we are.Mjinga anakiri ujinga halafu anamshangaa msomi!!!!!