watanzania bado washamba sana,wajinga,wapumbavu wasio na elimu hata robo,magazeti ya udaku hayakuanzia kwa eric,yameanzia tangu ulaya,marekani,udaku wa ulaya na US ni noma,hadi rais wa nchi anaanikwa hadharani,kwa ushamba wenu mnaona eti mnadhalilishwa eti shigongo anaingilia faragha,ni lini alimfuata mtu na mkewe chumbani kwake? hao ni wale wazinzi wenye tabia chafu,na wataendelea kuanikwa,nami nipo njiani kuanzisha gazeti,na mimi nitawaanika,wht a stupid thread mnaleta hapa? badala ya ku discuss namna ya kuitoa berenge ccm madarakani nyie mnaleta weak thread hapa,akili zenu ndogo sana,waambieni hao wenye tabia mbaya,kama irene uwoya,wema,diamond na wachafu wengine watulie,muone kama global itawafuata majumbani kwao,hamna akili kabisa nyie nyambaf...