Shift incharge Post Tanroads Kibaha

Shift incharge Post Tanroads Kibaha

unamaanisha nn? kama ni kuitwa kwenye interview hilo tayari. ilikuwa tarehe 5-8 mwezi huu pale kibaha. ila kuhusu ajira sijajua. hata mie natamani kujua cause nilipiga interview hiyo
 
Asante Mkuu hata mimi nilifanya interview nilikuwa namaanisha ajira.
 
Back
Top Bottom