Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,842
- 50,556
Kashfa gani. Kusema kuwa Mwalimu alizoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi ndiyo kashfa?Lissu ni mropokaji tu.
Rejeeni maneno ya kashfa aloyasema kuhusu baba wa taifa.
The guy is unhinged!!!
Lissu alisema hivyo ulivyoandika wewe au unayapaka sukari maneno yake?Kashfa gani. Kusema kuwa Mwalimu alizoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi ndiyo kashfa?
Lisu ni mnafiki wa taifa. Ngoja aishi jela kwanza, akitoka huko akute na mke wamelamba na hapo ndipo atajua maana ya uhuru huyu mnafiki
Lissu ni mropokaji tu.
Rejeeni maneno ya kashfa aloyasema kuhusu baba wa taifa.
The guy is unhinged!!!
Ndicho alichokisema. Au "nyie" mlisikia tofauti?Lissu alisema hivyo ulivyoandika wewe au unayapaka sukari maneno yake?
Nyie sijui kwa nini mna mawazo kama watumishi wa kwenye madhabahu ya shetani. Akifungwa na mke wake wakilamba wewe utafaidika na nini? Ndiyo maana watu wanaamini kwamba shetani hupenda uchafu na ndiyo hata maana wafuasi wake wana mawazo machafu pia!Lisu ni mnafiki wa taifa. Ngoja aishi jela kwanza, akitoka huko akute na mke wamelamba na hapo ndipo atajua maana ya uhuru huyu mnafiki
Kuandika u-pumba-vu nacho ni kipaji.
Hongera kwa kukitumia vizuri kipaji chako.
Nyie sijui kwa nini mna mawazo kama watumishi wa kwenye madhabahu ya shetani. Akifungwa na mke wake wakilamba wewe utafaidika na nini? Ndiyo maana watu wanaamini kwamba shetani hupenda uchafu na ndiyo hata maana wafuasi wake wana mawazo machafu pia!
Nyie sijui kwa nini mna mawazo kama watumishi wa kwenye madhabahu ya shetani. Akifungwa na mke wake wakilamba wewe utafaidika na nini? Ndiyo maana watu wanaamini kwamba shetani hupenda uchafu na ndiyo hata maana wafuasi wake wana mawazo machafu pia!
Washamba kama wewe mnasukumwa na ukabila,mnadhani mtatawala mileleLissu alisema hivyo ulivyoandika wewe au unayapaka sukari maneno yake?
Umekaa umewaza kweli mwenyewe ukaona jamaa hakuwahi kupewa rushwa hata kusingiziwa ukaona utudanganye et anatembea na fuko la wazungu. Alikuja nalo baba ako? Samahanj lakn mkuu kama nakukera cz maneno yako yenyewe yana kera sana unaonesha unalipwa ili kutudanganya.Nyamaza kama hujui. Lisu ana upungufu wa akili na pia ni mla rushwa, hapo anatembea na fuko la wazungu. Natamani ningekuwa polisi ningemchapa virungu mpaka alie kithungu.
Baba wa taifa hakosolewi au?Lissu ni mropokaji tu.
Rejeeni maneno ya kashfa aloyasema kuhusu baba wa taifa.
The guy is unhinged!!!