SHIDA YA MTANDAO

SHIDA YA MTANDAO

magweto

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
501
Reaction score
3,621
kwa yeyote anaejua kifaa kinachoweza kupandisha network,kwa mfano upo eneo ambapo mtandao ni EDGE pekee uweze kupandisha hadi 3g au 4g,naomba mnisaidie jina la kifaa kama kipo na upatikanaji wake
 
mkuu kwa nijuavyo mimi kama mnara wa jirani yako ni edge basi huwezi ubadili wewe speed yake kwa kifaa chako ulichonacho.

Lakini kuna vifaa vya ku boost network ila hivi vinakuwa na limitation ya umbali ina maana venyewe vinakusaidia kupata network kutoka mnara wa mbali kidogo na eneo ulilopo.

kama kuna mahala nimekosea naruhusu kusahihishwa.
 
nipatie jina la hicho kifaa kinachoweza kuboost tafadhari
 
Back
Top Bottom