KERO Shida ya maji Ruangwa imezidi sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kama ukikamilika huu mradi basi itakuwa vyema sana. Maana uvumilivu unafika mwisho, huo mradi wautekeleze tu kwa kweli
 
Hamna kumalizia,hapo panakuwa kichuguu cha mchwa chap kwa haraka,kwani huuni mavuno time.
 
Hata sijui
Yule jamaa alikuwa anaunyemelea ubunge hapo kwa Katelefon akaanza kuwachimbia visima wananchi ili kwenye kampen apete, chawa wa mzee wakampa taarifa, jamaa alizuiwa na kuhamishwa eneo lile na akaambiwa huko asiguse tena.
 
Kama ni kweli, basi siasa zinaturudisha nyuma sana Waafrika
 
Eeee hii ni kweli
 
Ulilalamika kuhusu shida ya maji Ruangwa watu wakaona kama unacheza tu
Sasahivi imewakuta Dar, Pwani, Morogoro na nchi nzima. Nadhani wakisoma hii thread sasahivi ndio wataelewa uchungu wako 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…