nafiaafrca
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 248
- 308
Tukama mwezi sasa maji yamekuwa shida hasa maineo ya pasians kiseke nk kama kunamtu wa idara ya maji aje atupe ufafanuzi tatizo nini maana biri mnatuletea tena kwa bwebwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app