Utapingwa na@Lucas Mwashambwa.Mama DPW anasemaje maana nasikia makao yake makuu ni hapo! Snashindwa hata kuleta maji makao makuu! Chawa wake wanalisemeaje hili?
Mgao n maeneo mengi kwa dodoma maji yanatoka saa 12 asubuhi hadi 11 jioni. Kwa kisasa nadhani na population inachangia kwa kiasi kikubwa.Ila kwa huku naona kumezidi maana ukienda mitaa kama kikuyu ni ya mgao lakini kwa masaa ila ni karibu kila siku yanatoka kwa masaa kadhaa
To be specific kule nyumba 300 hata hayo masaa hawajui.. watu wamejaza madumu ndani kama wauza maji ikitokea yametoka tu ni wanasombelea ndani kama hayatatoka mwaka mzima imagineMgao n maeneo mengi kwa dodoma maji yanatoka saa 12 asubuhi hadi 11 jioni. Kwa kisasa nadhani na population inachangia kwa kiasi kikubwa.