shida nini?

realleonia

JF-Expert Member
May 25, 2013
366
138
Jamani hawa watu wanaovunjiwa nyumba mabondeni dar mbona kila MTU anakua hajui kuwa zoezi hill lipo na mbona kila MTU analalamika kutoa kura yake kwa kumpa magufuli? Je shida nini?serikali inatumia ubabe kuvunjwa au wananchi ndio wakosefu?
 
Baba akijamba mbele za wageni, humsingizia mtoto aliyekaa naye karibu. Hivyo hata kama serikali/baba ina makosa, haiwezi kuyakubali. Mtoto/mwananchi atabeba mzigo huo.
 
Back
Top Bottom