chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,548
- 2,699
Mambo vip wakubwa,,
Story iko hvi nakumbuka kuna mwaka nlikua field kwenye moja ya migodi ya accacia zaman barrick gold mine (bulyankuru Gold mine) iliyopo kakola kwa kua nlikua sijawahi fika ikabdi nifikie guest fulan ambayo nlikua nalipia kwa cku kwa muda wote mpaka field itakapoisha karibu na hiyo guest kulikua na Dada mmoja ni mlokole ameolewa ana mototo mmoja alikua anaishi na mumewe huyo.
Dada alitokeaga kunipenda sana kuna siku alinikuta dukani nna nunua vocha ndipo alipo anza kunipa salamu na tukapiga story kidogo tukabadirishana namba kwa kua mumewe alikua anafanya kazi muda ambao mumewe yupo kazin tulikua tunachat kwa kua alionesha shobo ikabidi nimtongoze akakubali ikawa namgonga kinoma noma kila muda mumewe akiwa hayupo namkula tu ,
Sasa kuna siku mumewe akazifuma meseji tukizokua tunachat nae akambana kwa kipigo na alichezea kipigo haswa aseme ni nan aliekua anachat nae ? Lakin mwanamke akagoma kusema yule jamaa ikabda asome jina langu kupitia tgo pesa akawa anaulizia watu especially pale kwenye guest kama kuna MTU anaitwa chlorine gas basi kuna mhudumu wa guest akaja kunistua kua ninatafutwa na mapanga akanambia inabidi nihame guest nikahamia guest nyingine .
Basi kuna siku mumewe alisafiri kikazi yule mwanamama akachukua simu akanipigia akilia akiomba msamaha kwa yaliyotokea nikamwambia fresh tu mimi sina tatizo nae akasema mumewe kasafiri anataka tuonane ajue nilipo hamia basi nikamwelekeza akaja duuu nakumbuka siku hyo alispend usiku nzima namgonga tu ila ucku mida ya sa 4 wakati ninamshughurikia mumuwe akapiga simu akamuuliza upo wapi ??mdada akajibu niko nyumbani nimelala [emoji23] [emoji23] nikwa nacheka kimoyo moyo kua angejua mke wake alipo angejinyonga yaaan mpaka leo sintokuja kusahau na ilinipa funzo jinsi wanawake walivyo especially waliokokwenye ndoa mpaka namaliza field naondoka mdada alikua analia hata niondoke nikamwabia ntarudi usijali kumbe ndo moja kwa moja najisepea mpaka leo anapiga simu niende namrusha tu