Shida ni mimi au labda sipendwi

Dogo achana na demu wangu nisije nikakutafuna tope[emoji51]
 
Nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Site private za hivo ndo hataki kutokea Yani yuko comfortable tuonane vikona vya giza giza tufanye yetu apo kutekenyana , hug , kiss kosa nitake kumpeleka ndani
Tatizo unapiga piga sana rangi,tumia hivyo vichochoro kula mzigo.
 
Sorry mdau.Kwania njema tu naomba kujua wew ni me au ke?
Kama ni ke nimekukubali kupitia hii comment yako.
Kama ni- me wew ni baharia mbobezi.
 
Daaah aseeeeh we kijana unafeli mm nishakutana na scenario kama hiyo kiss safi kushuka tandam na mtindi ilikua safi ila kuichakata mbususu akawa anazingua geto hataki lodge hataki nikaona nibadilishe mbinu za kivita nikaja na mbinu za komando kipensi( deadly prey) nilikamata nikapiga cha njiwa hapo hapo chochoroni mbn akawa analileta mwenywe pwapwa😅😅😅😅😅😘
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daah mkuu mi naona kazi sana kufanyia nje. Yani ndo mara ya kwanza nakutana na mwanamke aina hii wengine nilikuwa nikiomba aje geto anakuja
 
Hawa viumbe wa ajabu sana,unawezakuta kakukubali kote kasoro uvaaji(colour match) yamkini unavaa kama majamaa wa zimamoto
 
Mpe hela mpe zawadi ndogo ndogo, msifie how beautiful she is uone kama hapigi simu kuelekezwa unapo kaa, acha uboya. Tatizo umetanguliza sex that's why anakua mgumu kukutanulia anajua ukishamla utampotezea.

Chukua Hennessy popote apo ulipo nakuja kulipa mkuu umemaliza
 

Dah[emoji28][emoji28]
 
Hapa maoni ya jumla yameelezwa kikamilifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…