Shida ni mimi au labda sipendwi

holy spirit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2020
Posts
884
Reaction score
1,400
Wakuu habarini za leo,

Iko hivi nimetongoza vizuri tu dem akaniambia kwamba ana mpenzi wake. Mi nikajua ni defensive mechanism za wadada ili nimfukuzie kwa hivyo nikaendelea kumfatilia mwisho akakubali. Tangu kakubali huwa tunaonana usiku mara nyingi sababu kila mtu ana issue zake mchana, tukikutana nashika kiuno vizuri tu , kiss napiga na hata kama tusipokutana tunachat vizuri tu bila tatizo.

Tatizo limekuja nilivyoomba mbususu eti ndo anaanza kunikumbusha si nilikwambiaga nina mahusiano , kwenda lodge hataki na mimi siwezi kumvuta nimpeleke kwa lazima. Nikahisi labda ni lodge hajazoea nikamwambia aje geto na penyewe hataki eti anaogopa, sababu ni ile ile yuko kwenye mahusiano. Halafu hata hela haombagi ningesema labda yupo kunichuna tu. Wakuu nisaidieni na nyie shida nini labda
  • Ni mimi ndo sijui kumshawishi akubali
  • Hanipendi anacheza na akili yangu
  • Sababu nyingine yoyote mnayohisi wakuu
Maana dem ni mkali na mda niliopoteza kumfatilia ni mwingi mno roho inaniuma kumpotezea bila kupewa mbususu
 
Kama kiss ipo na kiuno unashika jipige kifuani na kujitamkia maneno kwamba wewe ni mshindi

Anakutaka huyo ila anaplay hard to get

Mbinu ya kumla ni ile ile ya kila siku,kata mawasiliano...jifanye kama vile umemsusia mbususu yake(japo mbususu haisuswi)

NB: Hiyo mbinu ni kama betting,inawezekana ukamchunia na yeye akakuchunia(sema achana nae tu kama atakuchunia mazima,utaanzaje kuwa mpenzi mtazamaji kila siku?si heri ufuate utaratibu mwingine)
 
Mi mwenyewe niliwaza hivi nisuse hata wiki nione itakuwaje. Na yeye akisusa jumla arudi tu kwa mpenzi wake asinipotezee mda
 
Ushauri bora nipo naongea na wakandarasi tukujengee sanamu ostabei
 
Kama kama "mate" umeshapiga na"kiuno" umeshapiga kwanini unyimwe mzigo?

Sikuhizi watu hawatongozi unakamata tu mkono mpaka nyumbani unakula mbususu..

Reference; uzi wa kula kimasihara
 
Naaam mkuu ushauri huu aufuate'
 
Tatizo huyu simuelewi physical contact anakubali nikiomba sex anaanza visingizio
Wa hivo hawaliwi kwa kuomba Rasmi bali unatengeneza mazingira fulani hivi!!

Mnakuwa site KWA maongezi halafu unaanza tu "you touch me here i touch you there Hadi analainika then there you go boy!!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Site private za hivo ndo hataki kutokea Yani yuko comfortable tuonane vikona vya giza giza tufanye yetu apo kutekenyana , hug , kiss kosa nitake kumpeleka ndani
 
Huo muda unaopoteza kumshawishi ungetumia kupita kidogo kwenye uzi huu
 
Tunaomba huyu mwanachi afunguliwe ofisi karibu na ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…