Mkuu mawazo yako ni mazuri. Lakini kuwa na taarifa tu haitoshi, je! Unaweza ku-analyse hizo taarifa!? Watu wanazo taarifa na wengi wanakoswa ku-analyse hizo taarifa, mwisho wa siku inakula kwao.Pale ulipo...uwe kwenye group la masomo,mazoezi au lolote lile ndipo ulipo mtaji wako.
Mtaji mkubwa sio wazo pekee bali ni TAARIFA sahihi kuhusu kitu,jambo au biashara fulani.
Kumbuka kila kitu duniani ni biashara...Je ww unajua nini kwa undani ?
Hicho unachokijua kigeuze kiwe biashara na mtaji wa biashara hiyo ni huo ujuzi wako(Taarifa sahihi kuhusu unachokijua)
Mifano ni mingi kwa waliotumia wanachokijua kupata mitaji na kuifanya hiyo ndio biashara.
Mf.Dada mmoja aitwa Jamila ni mnene sana ...ktk kutaka kupungua akajiunga na group la WhatsApp linaitwa Loose weight. Pale akakutana na member wenzie wa mikoani (yy yuko Dsm)ilipokua wanazungumza biashara yy akawa anawaelekeza maeneo mazuri ya kupata bidhaa wanazozitaka hapa Dsm..na alikua anaelekeza mpka bei na ubora wa bidhaa husika..(kwamba ukitaka bei nafuu ni mtaa flani duka flan lkn quality kanunue duka flani.Ikaenda mpka akawa anawapokea baadhi ya wafanyabiashara na kuwapeleka madukani..ukizingatia hakua busy sana na shighuli zake.
Hivi ninavyoandika hapa account yke inasoma mzunguko wa mil 20 mpka 70 kila mwezi.
Anatumiwa pesa anawanunulia bidhaa na anawasafirishia mikoani na ameshafungua duka lake Tabata..kila mwezi hakosi mil 3 .
Huo ni mfano mmoja tu ambao umetokana na kua taarifa sahihi na kugeuza kua mtaji.
Inawezekana!
Kitu ambacho mm nakiona ni kwamba watu hawapotezi muda kujua chochote...Hii ni mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipoacha kazi bank nikaamua kutia mguu kujiajiri sikuwa na pesa nyingi. Honestly nilikuwa na milioni 2 tu kama disposable income, but I saw an opportunity.
Rafiki yangu mmoja akaniambia niwe na hela ya kodi ya nyumba ya miezi 6 na hela ya kula miezi 6 bila kugusa mtaji wangu wa biashara. Nikamwambia mi nahitaji hela ya kula bila kugusa mtaji miezi 3 tu....by the way sina familia sitashindwa kujilisha. Kwani nakula sh ngapi kwa siku?
Now am making ule mshahara wangu wa mwezi ndani ya siku 5 tu....and my target is to make it in a day as at THIRTY FIRST DECEMBER 2017, God willing.
Kama kazini tulikuwa tunapewa target why mimi nisijipe target zenye strict deadlines.
Hitimisho, watu hawajiajiri sababu ni waoga na wanaona aibu. Siku aibu zikiwatoka watakuja tu.
Sukari Yenu
Purchasing Power ni kweli kabisa,tena kwa sasa ipo chini sana.Kwa ujumla wake shida ipo kwenye uwezo (capability), elimu, mfumo wa uchumi, urasimu, culture (yakutoshirikiana tofauti na asians), ujasiri na purchasing power. Tanzania bado ipo katika hali ya chini wengi wanafungua biashara zinakufa hata ma supermarket mengi yanakufa kwasababu wengi gawana uwezo wengi. Hivyo ajira bado ni muhimu kwenye viwanda, mashirika n.k. sekta binafsi ikikua inatoa ajira ambayo inaongeza wenye kipato ambao watafanya biashara za wajisiriamali zikue.
Hii ni changamoto ya kweli kabisa,hata kwa wale wanaojitutumua ku move one kuna some goals hawafikii kwa sababu ya VIANZIOShida mtonyo,yaani kianzio cha kujiajiri..
Kweli ila hata ulichonacho unakuta hakikidhi.Wanasema anza na ulichonacho
Nguvu not applied kwenye kila idea unayotaka KUIFANYANguvu nazo mtu atakosa.!!
Thumb UpHili umesema wewe,sio Mimi. Ukikutana na mtu mwenye mipango minene kama Mimi hsiwezi toa sababu kama hii.
Si wazo BAYAVizuri sana kama una mipango minene, pia unaweza anzisha "Funding" kulingna na wazo lako,
Anza kuangalia list ya contact zako kuanzia A to Z....wahamasishe. You never know Maserati
Utamaduni wetu hauna feva kwenye kusaidiana mitaji au kumchangia mtu akasome,sanasana ni mambo ya hatusi na sherehe mbalimbali.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana. Labda njia nyingine,lakini hiyo hapana. Funding kulingana na wazo kivipi?? If nataka kuuza Nguo nafanyaje? Au nataka kuuza viatu?
Wazo lako linaweza kushawishi kupewa mtaji, mchanganuo wa jinsi utauza hizo nguo/viatu.....
Hujui wengine wana hela lkn hawajui wafanyaje biashara.
Mfano mzur sana huu Ridhwani Mbaraka ila ukutane na watu honest kama dada Jamila,maana huo nao ni MTAJI.Pale ulipo...uwe kwenye group la masomo,mazoezi au lolote lile ndipo ulipo mtaji wako.
Mtaji mkubwa sio wazo pekee bali ni TAARIFA sahihi kuhusu kitu,jambo au biashara fulani.
Kumbuka kila kitu duniani ni biashara...Je ww unajua nini kwa undani ?
Hicho unachokijua kigeuze kiwe biashara na mtaji wa biashara hiyo ni huo ujuzi wako(Taarifa sahihi kuhusu unachokijua)
Mifano ni mingi kwa waliotumia wanachokijua kupata mitaji na kuifanya hiyo ndio biashara.
Mf.Dada mmoja aitwa Jamila ni mnene sana ...ktk kutaka kupungua akajiunga na group la WhatsApp linaitwa Loose weight. Pale akakutana na member wenzie wa mikoani (yy yuko Dsm)ilipokua wanazungumza biashara yy akawa anawaelekeza maeneo mazuri ya kupata bidhaa wanazozitaka hapa Dsm..na alikua anaelekeza mpka bei na ubora wa bidhaa husika..(kwamba ukitaka bei nafuu ni mtaa flani duka flan lkn quality kanunue duka flani.Ikaenda mpka akawa anawapokea baadhi ya wafanyabiashara na kuwapeleka madukani..ukizingatia hakua busy sana na shighuli zake.
Hivi ninavyoandika hapa account yke inasoma mzunguko wa mil 20 mpka 70 kila mwezi.
Anatumiwa pesa anawanunulia bidhaa na anawasafirishia mikoani na ameshafungua duka lake Tabata..kila mwezi hakosi mil 3 .
Huo ni mfano mmoja tu ambao umetokana na kua taarifa sahihi na kugeuza kua mtaji.
Inawezekana!
Kitu ambacho mm nakiona ni kwamba watu hawapotezi muda kujua chochote...Hii ni mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
FutureKabisa yaani unantengeneza faeture yule alie kuajiri.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Si angeendelea kuwa nayo karibu,Mbona anakubali kuitwa MPUMBAVU?Kigwangwala ana ma Ginnery huko kwao nzega sio choka mbaya kama watu wanavyodhani ila tu ni mbwatukaji kwenye mitandao.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Pole,na sasa wanazifunga kwelikweliTatizo ni sheria,binafsi ni mwl na nimejitahidi kujiajiri.Nimebakisha kuezeka lkn shule inafungwa kwa sababu haijasajiriwa na hawapo tayari kusikiliza Wala kutazama eneo kubwa na majengo nzuri hata walimu wangu ni wenye taaluma
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio siasa za kizamani,ni roho mbaya na HINDA.Kuna utamaduni wa serikali kuwa anti business. Ukianzisha kitu serikali haioni kwamba unatakiwa upewe haki ili ufanikiwe ili uendeleze Watanzania na kulipa kodi, kwao unaonekana ni chanzo cha kodi pale unapoanza tu. Ndiyo maana hata kabla hujapata faida yoyote kodi na fees kibao.
Rais anajigamba kwamba hajapewa hata senti na mfanyabiashara katika kamoeni yake. Kauli hii (licha ya kuwa ninya uongo) inatuinyesha Rais ambaye hapendi wafanyabiashara. Ana siasa za kizamani kwamba wafanyabiashara wote ni wezi na wahujumu uchumi.
Sent from my Kimulimuli
Bado anayo na buziness anapiga kama kawa.Si angeendelea kuwa nayo karibu,Mbona anakubali kuitwa MPUMBAVU?
May Allah bless Me and You
Yaani acha tu,watu wanadhani kuanza ni mchezo mchezo tu.Utamaduni wetu hauna feva kwenye kusaidiana mitaji au kumchangia mtu akasome,sanasana ni mambo ya hatusi na sherehe mbalimbali.
Kama ile michango ya harus ingekuwa TUNACHANGIANA kwenye kusaidiana kimasomo au KIMITAJI bas jamii hii ingekuwa mbali sana,kwani pesa nyingi sana zinachangwa na zinapotea kwenye anasa sikubza sherehe.
Mtumie mtu meseji ya mchango wa mtaji,mchango wa msaada wa kimasomo na msaada wa mchango wa mtaji hapo kwenye contact list yako,halaf subir response.
Labda tuanze kuhamasishana huko kwenye mentality ya KUSAIDIANA "FUND RAISING"
May Allah bless Me and You
Haamini katika kujiajiri kwa 100%.Bado anayo na buziness anapiga kama kawa.
Acha waitwe tu hayo majina,kila boss ana boss wake.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.