nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
- Thread starter
-
- #61
Brother mimi naamini kwenye kukua....unaanza chini kabisa,ukiwa na uthubutu kila kitu kinawezekanaMnajua hili swala la kujiajiri sio rahisi kama tunavyofikiria na kuwaza,
Nimeona tunalalamikiana na kushangaana kwamba kwakuwa mtu anamiliki smartphone basi huyo hapaswi kusema hana mtaji...si sahihi,
Kwa ulimwengu wa sasa SMARTPHONE ni muhimu sana hasa kwa sisi wajasiriamali na hata wanaotaka kuwa wajasiriamali, najua wengi wanasema uza smartphone upate mtaji sasa smartphone nyingne watu wanamiliki akiuza hata laki.2 haifiki....huyo utamwambia afanye biashara ni biashara gani unaweza ukaiendesha kwa kiasi hicho ktk ulimwengu huu wa ss,
Zingatia kuna mambo mtu atahitaji kujifunza...kusoma vitabu, kusoma makala za wajasiriamali wengne mtandaon kama humu JF, na hata kujua dunia inaendaje ktk swala zima la uchumi,
Kwahyo kwenye swala la mtaji hapakwepeki kwakwer hili ni tatizo,
Mimi wakat nasoma nlikua nasema ntajiajiri ila lazima niajiliwe kwanza na nkajiwekea naziri kwamba sitakaa ktk ajira zaidi ya miaka 5,
Ndani ya miaka hiyo 5 ingetosha kabisa kunipa Starting Capital ya kujiajiri, so twende mbele turudi nyuma kuajiliwa mwanzoni kupo unless kama utapata kianzio either kwa wazazi au ndugu jamaa na marafiki.
Ni vema tukaelewana na kushauriana tuache kusemana na kusimangana vijana....tupo tofauti kiakili, kiumri na hata kimazingira,
Na kuhusu ishu ya kukopi mawazo ya biashara hilo ni kawaida...hakuna biashara mpya duniani zote zilikuwepo sema tu zinafanyiwa Modification/Innovation....ndio maana ya ujasiriamali,
Endelea kuuza duka usisahau kurithisha na wanao hiyo kaziWe bwana wewe...uelewa mdogo sana,unajifananisha na watu.Fanya mambo yako....kama unaamini kwenye kuajiriwa endelea huko mkuu
by emma mjasiriamali
Hayo mawazo ya wenye akili fupi...kujiajiri ni kufanya kitu anbacho mwanzoni kinakutegemea kwa asilimia 70,kitu kama duka kinategemea uwezo wako wa kujiongeza....Ndizo kazi zetu hizo za kujiajiri.
- Tafuta frame fungua duka, grocery au bar. Kama mtaji wako mdogo fungua genge
Ndio lkn kumbuka ulipo wewe sio alipo kila mtu na wazo lako na mikakati yako sio sawa na wengine,Brother mimi naamini kwenye kukua....unaanza chini kabisa,ukiwa na uthubutu kila kitu kinawezekana
by emma mjasiriamali
Mr miller umeongea sawa kabisa,sema kuna wengine wanacritisize bila kujua hilo la nafasi na namna ya uthubutu...mimi ukiniambia ulipo na mambo yanayokuzunguka nakufungua akili unaanza ujasiliamaliNdio lkn kumbuka ulipo wewe sio alipo kila mtu na wazo lako na mikakati yako sio sawa na wengine,
La msingi ni kuelimishana.
Tatizo tumeoteshwa misingi ya waliotutangulia,hivi unashindwa kuwaza kuwa muajiri wa watu wengine angalau 100,watu wote wakawa wanakuita wewe bosi,tuache kuyashadadia na kuyakamilisha malengo ya wengine....unaishi maisha ambayo sio yako....grow up and start today your own lifeEndelea kuuza duka usisahau kurithisha na wanao hiyo kazi
Vizuri chiefMr miller umeongea sawa kabisa,sema kuna wengine wanacritisize bila kujua hilo la nafasi na namna ya uthubutu...mimi ukiniambia ulipo na mambo yanayokuzunguka nakufungua akili unaanza ujasiliamali
by emma mjasiriamali
The best and vivid example ni huyu anaeitwa hamisi kigwangala alieajiriwa na siasa akacha taaluma yake!Watu wataongea hili na lile... Wasema haya ma yale...
Na ndiyo hao hao wasaka ajira huku wakisisitiza wenzao kujiajiri...
Cc: mahondaw
You smart brother! Shida yetu tumejikita kujua umbea sana bila kuwaza kwa undani mazingira yanayotuzunguka yana nini cha ziada kiwe sehemu ya fursa.Pale ulipo...uwe kwenye group la masomo,mazoezi au lolote lile ndipo ulipo mtaji wako.
Mtaji mkubwa sio wazo pekee bali ni TAARIFA sahihi kuhusu kitu,jambo au biashara fulani.
Kumbuka kila kitu duniani ni biashara...Je ww unajua nini kwa undani ?
Hicho unachokijua kigeuze kiwe biashara na mtaji wa biashara hiyo ni huo ujuzi wako(Taarifa sahihi kuhusu unachokijua)
Mifano ni mingi kwa waliotumia wanachokijua kupata mitaji na kuifanya hiyo ndio biashara.
Mf.Dada mmoja aitwa Jamila ni mnene sana ...ktk kutaka kupungua akajiunga na group la WhatsApp linaitwa Loose weight. Pale akakutana na member wenzie wa mikoani (yy yuko Dsm)ilipokua wanazungumza biashara yy akawa anawaelekeza maeneo mazuri ya kupata bidhaa wanazozitaka hapa Dsm..na alikua anaelekeza mpka bei na ubora wa bidhaa husika..(kwamba ukitaka bei nafuu ni mtaa flani duka flan lkn quality kanunue duka flani.Ikaenda mpka akawa anawapokea baadhi ya wafanyabiashara na kuwapeleka madukani..ukizingatia hakua busy sana na shighuli zake.
Hivi ninavyoandika hapa account yke inasoma mzunguko wa mil 20 mpka 70 kila mwezi.
Anatumiwa pesa anawanunulia bidhaa na anawasafirishia mikoani na ameshafungua duka lake Tabata..kila mwezi hakosi mil 3 .
Huo ni mfano mmoja tu ambao umetokana na kua taarifa sahihi na kugeuza kua mtaji.
Inawezekana!
Kitu ambacho mm nakiona ni kwamba watu hawapotezi muda kujua chochote...Hii ni mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigwangwala ana ma Ginnery huko kwao nzega sio choka mbaya kama watu wanavyodhani ila tu ni mbwatukaji kwenye mitandao.The best and vivid example ni huyu anaeitwa hamisi kigwangala alieajiriwa na siasa akacha taaluma yake!
brain is the beautiful part of the body.
Umeeleweka vema mkuu, huu ujumbe wako ndo ninaoufanyia kazi muda huu ikifika 2020 naacha hii kazi ya magufuli maana najua biashara yangu itakuwa ishakomaa!Mnajua hili swala la kujiajiri sio rahisi kama tunavyofikiria na kuwaza,
Nimeona tunalalamikiana na kushangaana kwamba kwakuwa mtu anamiliki smartphone basi huyo hapaswi kusema hana mtaji...si sahihi,
Kwa ulimwengu wa sasa SMARTPHONE ni muhimu sana hasa kwa sisi wajasiriamali na hata wanaotaka kuwa wajasiriamali, najua wengi wanasema uza smartphone upate mtaji sasa smartphone nyingne watu wanamiliki akiuza hata laki.2 haifiki....huyo utamwambia afanye biashara ni biashara gani unaweza ukaiendesha kwa kiasi hicho ktk ulimwengu huu wa ss,
Zingatia kuna mambo mtu atahitaji kujifunza...kusoma vitabu, kusoma makala za wajasiriamali wengne mtandaon kama humu JF, na hata kujua dunia inaendaje ktk swala zima la uchumi,
Kwahyo kwenye swala la mtaji hapakwepeki kwakwer hili ni tatizo,
Mimi wakat nasoma nlikua nasema ntajiajiri ila lazima niajiliwe kwanza na nkajiwekea naziri kwamba sitakaa ktk ajira zaidi ya miaka 5,
Ndani ya miaka hiyo 5 ingetosha kabisa kunipa Starting Capital ya kujiajiri, so twende mbele turudi nyuma kuajiliwa mwanzoni kupo unless kama utapata kianzio either kwa wazazi au ndugu jamaa na marafiki.
Ni vema tukaelewana na kushauriana tuache kusemana na kusimangana vijana....tupo tofauti kiakili, kiumri na hata kimazingira,
Na kuhusu ishu ya kukopi mawazo ya biashara hilo ni kawaida...hakuna biashara mpya duniani zote zilikuwepo sema tu zinafanyiwa Modification/Innovation....ndio maana ya ujasiriamali,
Hana methodology nzuri ya kuwa-inspire vijana ambao wanahangaika na bahasha za kaki mjini.Kigwangwala ana ma Ginnery huko kwao nzega sio choka mbaya kama watu wanavyodhani ila tu ni mbwatukaji kwenye mitandao.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Anza hapo kwa Mr millerSijaona Huyo mtu bado. Nikikutana nae nitafurahi sana.
na ni Dhambi
[emoji1][emoji1][emoji1]Anza hapo kwa Mr miller
Hii sijaielewa hata.Nadharia ya physics inasema kwamba mwili wako asilimia 99.9999999999999 ni empty space. Na ukuta nao ni hivyo hivyo. Kila matter ni angalau hivyo hivyo.
Kunadharia inatakiwa iwe rahisi sana kwako kuweza kupenya katikati ya ukuta wa matofali bila hata kuchubuka.
Kwa sababu wewe na ukuta wa matofali wote nyie mko 99.9999999999999 empty space.
Jaribu kupenya ukutani pasipo mlango wala dirisha uone nadharia ilivyo mbali na ukweli halisia.
Kama kuna nyakati za kuanza kujiajiri, wakati wa sasa ni mgumu sana. Baba ubaya kafungia fedha kabatini mpaka Benki Kuu umeshusha riba kutoka asilimia 16 kwenda asilimia 9 kujaribu kuunusuru mzunguko wa fedha.
Na bado watu kama hawana imani na serikali hawakopi.
Utajiajiri vipi wakati mzunguko wa fedha unadhoofika na uchumi unaanguka?
Sent from my Kimulimuli
Kuna utamaduni wa serikali kuwa anti business. Ukianzisha kitu serikali haioni kwamba unatakiwa upewe haki ili ufanikiwe ili uendeleze Watanzania na kulipa kodi, kwao unaonekana ni chanzo cha kodi pale unapoanza tu. Ndiyo maana hata kabla hujapata faida yoyote kodi na fees kibao.Tatizo ni sheria,binafsi ni mwl na nimejitahidi kujiajiri.Nimebakisha kuezeka lkn shule inafungwa kwa sababu haijasajiriwa na hawapo tayari kusikiliza Wala kutazama eneo kubwa na majengo nzuri hata walimu wangu ni wenye taaluma
Sent using Jamii Forums mobile app