PostGE2025 Shida iko wapi kuunda Serikali ya mseto?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ameshauriwa hilo lakini TL amekataa. Anatarajia kupata kikubwa zaidi ya hicho, huyo ndio TL. Kashauriwa vingi ili atoke, lakini vyote kakataa. Matarajio ya TL ni makubwa sana. Anafikiri kuwa kwa sasa yeye ndio aliyeshika kwenye mpini. Hana haraka.
Kwa hapa tulipo akipewa aunde serikali yake na watu wote waliopo kwa sasa wakae pembeni ataweza peke yake? Na je, hakutakuwa na mgongano wa kimaslahi na hao kina "who are you" wanapiga kelele kwasasa?

Ili nchi ibaki kwetu naamini mseto hauepukiki kwasasa, wakae pamoja (wapo ccm wenye akili na uchungu na nchi yetu sio lazima wawe hawa kina kijitabu) wachanganye mawazo pamoja nchi isonge mbele
 
Shida Wamesha Jimilikisha Hii nchi
Wanaona kama wao ndio Kila kitu
Mawazo yako mazuri lakini Hawana Hiyo Akili ya kufikiria hilo
 
Kwa mfano, nasema kwa mfano!

Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini halafu wataalamu wakae chini waone nani ana mlengo gani na akae wapi.

Wizara na sekta mbalimbali ziwe chini ya watu wenye itakadi tofauti za vyama lakini zenye mlengo wa kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa wananchi. Si ndivyo wanavyojinadi huko? Kwamba tuwape nchi walete maendeleo, sasa tusiwapendelee watu fulani, tuwape wote! Wote si ni watanzania baana?

Tutengeneze dira ya nchi, tuwape vipaumbele vyetu, tuwape KPI za kila sekta, kila idara na kila Wizara kisha tukae pembeni tusubiri matokeo

Halafu baada ya muda hivi kama miaka miwili hali ikishatulia, vichwa vinawaza sawasawa na mihemuko imepoa, liitwe bunge la katiba kisha watu wapite mule mule alikopita Warioba kwa kufanya maboresho na nyongeza kidogokidogo kadiri ya wataalamu watakavyoona na katiba mpya iandikwe

Hivi hamuoni kama Tanzania itaitwa nchi ya mageneus sana? Hamuoni kama tutarudisha heshima tuliyokuwa nayo ukanda wetu wa maziwa makuu, Afrika na dunia nzima kwa ujumla?

Watu hawataamini maana huko waliko wao wanataka tupigane marisasi watucheke! Tuvurugane watukebehi! Tushenyetane wao waje wazoe marasilimali yetu

Tuukwepe huu mtego kwa kuunda serikali ya mseto ambayo itatuletea katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki huko mbeleni. Vingenevyo hii hali itakuwa ya kujirudia rudia
Mawazo yako ni .nzuri tena sana.
Kikwazo ni CCM na serekali yake, kuruhusu hilo jambo hilo ni kuwatoa kwenye ulaji.
 
Unadhani suruhisho ni lipi? Hayo maandamano No way yanawatisha

Hizo kesi za kimataifa No way zinawatisha! Wanatokaje sasa na wameshikilia mpini
Maandamano ya kuchoma ccm na polisi popote walipo, magari yao, vibanda vyao, na wao wenyewe popote walipo.

Wanaotaka kuandamana kwa amani wasubiri tumalize yetu.
 
TAARIFA!
Nimewashawishi memba wapya kama 30 hivi ambao wanatarajia kujiunga JF baada ya 9/12, yawezekana Tar 10/12.
Natoa taarifa, kwa sababu hao member wapya si wana CCM, bali ni wakereketwa wa Samia kwa juhudi anazozifanya za kimaendeleo.
Watakuwa pamoja nanyi kwa vile wanaishutumu CCM kama mfumo, na wanahitaji Katiba mpya n.k. Hawapo pamoja nanyi kwa kumuunga mkono Samia na kukemea maandamano.
Tafadhali msiwakaribishe kwa matusi, kwani hili sijawaeleza. Nimetoa sifa nzuri tu za wana JF.
Uko timamu kweli wewe ???
 
Ameshauriwa hilo lakini TL amekataa. Anatarajia kupata kikubwa zaidi ya hicho, huyo ndio TL. Kashauriwa vingi ili atoke, lakini vyote kakataa. Matarajio ya TL ni makubwa sana. Anafikiri kuwa kwa sasa yeye ndio aliyeshika kwenye mpini. Hana haraka.
Akikubali kugawana madaraka ya kilaghai atachukiwa na wengi.
Ataonekana amewasaliti waliojitoa kufa na kuharibu maisha yao sababu ya mabadiliko ya kweli.
Lengo la Lissu siyo kupata madaraka tu, bali kubadili kabisa huu mfumo wa uovu wa CCM. Hasa mtandao ulioteka chama Chao Cha mapinduzi na nchi kwa ujimla.
Kuondoa mianya ya ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi.
Akitaka madaraka tu bila kubadili mfumo atakuwa Hana tofauti na Mbowe. Pia ukija uchaguzi ujao bado wapinzani wanaweza kufanyiwa uhuni kama huu tena.
Ushahidi wa hili ni SUKI ya Maalim Seif Zanzibar au serikali ya muundo huo kule Kenya ya Raila Odinga na Kibaki au na Rutto baada ya 2007.
 
Serikali ya mseto kaiweke wewe na Familia yakoo kwanzaa!!
Unafikiri kila unachowaza kifanyike tu wakati umejificha kwenye keeyboard!..
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Serikali haramu inapaswa kuondoka kwanza. Hukunq cha kusetuka wala kuridhiana
 
Maandamano ya kuchoma ccm na polisi popote walipo, magari yao, vibanda vyao, na wao wenyewe popote walipo.

Wanaotaka kuandamana kwa amani wasubiri tumalize yetu.
Wakati huo wao wanawatazama tu kama hawawaoni au unaota?
 
Kwa mfano, nasema kwa mfano!

Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini halafu wataalamu wakae chini waone nani ana mlengo gani na akae wapi.

Wizara na sekta mbalimbali ziwe chini ya watu wenye itakadi tofauti za vyama lakini zenye mlengo wa kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa wananchi. Si ndivyo wanavyojinadi huko? Kwamba tuwape nchi walete maendeleo, sasa tusiwapendelee watu fulani, tuwape wote! Wote si ni watanzania baana?

Tutengeneze dira ya nchi, tuwape vipaumbele vyetu, tuwape KPI za kila sekta, kila idara na kila Wizara kisha tukae pembeni tusubiri matokeo

Halafu baada ya muda hivi kama miaka miwili hali ikishatulia, vichwa vinawaza sawasawa na mihemuko imepoa, liitwe bunge la katiba kisha watu wapite mule mule alikopita Warioba kwa kufanya maboresho na nyongeza kidogokidogo kadiri ya wataalamu watakavyoona na katiba mpya iandikwe

Hivi hamuoni kama Tanzania itaitwa nchi ya mageneus sana? Hamuoni kama tutarudisha heshima tuliyokuwa nayo ukanda wetu wa maziwa makuu, Afrika na dunia nzima kwa ujumla?

Watu hawataamini maana huko waliko wao wanataka tupigane marisasi watucheke! Tuvurugane watukebehi! Tushenyetane wao waje wazoe marasilimali yetu

Tuukwepe huu mtego kwa kuunda serikali ya mseto ambayo itatuletea katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki huko mbeleni. Vingenevyo hii hali itakuwa ya kujirudia rudia
Serikali ya mseto na wangese waliochoma nchi,waliogombanisha watanzania' wakafikia kuuana!?..hao yao jela kama si kunyongwa
Serikali ya mseto na walioshiriki uchaguzi labda
 
  • Fire
Reactions: Tui
Waweke tume huru mezani dora igombaniwe
Hapa bado kuna tatizo pia, hata ingeundwa tume huru kiasi gani kwa mazingira ya sasa hakuna atakayeamini kuwa ni tume huru na hata hao wajumbe wenyewe hawataamini kama wako huru kwasababu atakayewateua ni aliyeko madarakani sasa hivi ambaye wengi wanaonekana kutomuamini

Hivyo ili kurejesha imani kwa watu na chochote kitakachofanyika ndiomaana mimi naona lazima kuwepo na ushirikiano kati ya wanaoonekana kuaminiwa

Kwa mfano, Jaji Othumani Chande ni mtu mwenye heshima zake katika nchi hii, lakini angalai namna tume yake ilivyokosa imani hata kabla haijaanza kazi.
 
watu tutaamini tu
 
Back
Top Bottom