Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Shibuda we naye......sa wewe kama ni bora kuliko waliomo kwenye Chadema ilikuwaje ulighilibiwa na hao hao "wachovu" hadi ukaingia kwenye chama "kibovu" kama hicho??

pili, je unaijua vema historia jinsi TANU ilivyoanza na kukua hadi kuleta uhuru? tembelea maktaba ujikumbushe kidogo muheshimiwa...
 
Chama kinaongozwa kwa misingi
na katiba.shibuda yupo kwenye target atahamia ACT.subirini muone hatuhitaji wanafiki chadema.
 
....familia ya Rutashobolwa, Tibaijuka na Rugemarila, vipi wewe mbona Ruge hakukupa mgao pamoja na kubwabwaja povu hapa kila siku? Mwambie home boy wako akukumbuke kabla bulungutu halijaisha.

Teh Teh naona ujumbe umekuingia..na bado mwaka huu lazima muone jukwaa chungu na mtalikimbia!

Chadema ni chama cha familia -Shibuda.
 
Wewe mpumbavu kweli aisee, kwanini mnapindisha sheria na taratibu za uchaguzi!? Kama mnajiamini kiasi hicho kwanini msihakikishe uchaguzi ujao unakuwa wa haki na huru halafu tuone ukweli wa mambo kuhusu wapiga kura wa Tanzania wanataka chama gani kiwaongoze?

Teh Teh naona ujumbe umekuingia..na bado mwaka huu lazima muone jukwaa chungu na mtalikimbia!

Chadema ni chama cha familia -Shibuda.
 
nimeipenda kama kweli alichoma katiba ndiyo wakati huo huo angeita waandishi wa habari washuhudie na atangaze kujitoa sio kuomba kufukuzwa AIBU TUPU
 
Kwani alikuwa anaongea kwa kutumia kiungo gani cha mwili?
 

1. Kwa hiyo unataka kutuambia msajili wa vyama vya siasa hana akili anasajili tu hata vyama vya familia kuwa vyama vya siasa
2. Nyerere (R.I.P.) alikuwa mwenyekiti wa chama cha TANU na kisha CCM kwa miaka mingapi kabla hajang'atuka?
3. Mtu na chama ni entity tofauti katika sheria, sasa ulitaka watumie jengo bila kulipia
4. Mbona husemi kuwa Kikwete ni Mwenyekiti wa CCM na Ridhiwani mbunge, na Gurumo ni mnikuru!
5. Kwani wanachama wa Chadema umewaona vipofu kama wewe unayepewa pilau ya viazi ulaya na kuchagua ccm hata kama wanakufanya uwe masikini wa mali na akili!?
6. Mmetuchangisha fedha nyingi mkajenga estate za ccm halafu mnaleta dharau, kuna haja ya kugawana mali hizo. Mmesahau kuwa enzi zenu vyuo ilikuwa lazima tujiunge kwenye chama kimoja. Kaa kimya halafu ukasome kwanza historia ya chama chako.
 
Si utamaduni wetu kuwasema vibaya watu walio tuzidi umri,ila naomba niwe mkweli kuwa kati ya wazee wapumbavu wa nchi hii huyu mzee ni mpumbavu mno,nina hakika hata watoto wake watakua wanamuita baba huku wakimdharau,ni vile tu hawana jinsi ya kubadili baba!!always anaongeaga utumbo na mipasho kama mama wa uswahilini
 
CHADEMA IMELENGA KICHWA NA SIO MKIA AKINA SHIBUDA. Shibuda analia na hela ambayo imakatwa na zitto kutokuipata tena maana alikuwa anakula kila mwezi kwa ajili ya usaliti wao
 
Sasa baada ya kugundua sio sehemu sahihi kwake mbona hakuamia kwa magamba wenzake au ndo unafiki unafikini!!!! Atarudi tena bungeni tena mwakani kweli huyu jamaaa....
 

utamfukuzaje kichaa
 
Yani mleta mada ana akili kama mama yake,habari haina chanzo.

Pia,kama ni kweli kayasema haya basi anatafuta " nikupe kiiiiiiiick ujulikane!!" Huyu Shibuda angekuwa demu wangekuwa wanajipigia ovyo tu,ni mtu wa kuachia tu.Sielewi kilichomkimbiza kwa mafisadi ni nn? au alitaka kuonja ugongwaji wa upande wa pili?Kafulia vibaya sn,ogopa sn watu wasiokujibu unapoongea,lazima ujione umejititia.BIG UP CDM KWA KUMPUUZA HUYU MWANAMKE SHIBUDA-Shishibaby.
 
CHADEMA haina sababu ya kumfukuza shibuda ili iweje kwanza,aondoke tu
 
Duh! Ndo watanzania! Hakika hizi ni akili ndogo kwenye mambo ya kitaifa.., napita tu..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…