TAARIFA HII SIO YAKWELI, IPO KICHONGANISHI, haya mambo sio rasmi, tuweni makini. Jf itakuwa sasa kibanda cha kahawa!
Alitumia uhuru wa kutoa mawazo yake hivyo si vema kulaamu, mbona ya CCM huwa inaandikwa kwa utaratibu kama huu na kujadiliwa tena kwa kicheko.
Kikubwa ninahokiona ni kwamba ndani ya Chadema kuna watu wanajiona wao ndiyo wao na baadhi ya wengine kila wakisemaau kufanya kitu wanaonekana kama wasaliti / wamekosea kama ambavyo comrade Zitto anavyoandamwa na hasa kwa kuwa kwa kiasi fulani haelewani na Slaa na Mbowe kifikra, maana Zitto ana vision kubwa hivyo anaangalia na kuchambua mambo kwa mtazamo wa hali ya juu na kuona miaka kumi mpaka ishirini ijayo.
kwa sababu za kinafiki hizo sidhani kamati kuu wali consider sana mtoa mada amekurupuka tu, nadhan maamuzi ya suala hilo si hayo.
wanaJF
kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) iliyokutana tarehe 30/4/2011 imeamua kumtoa shibuda kwenye nafasi ya kukaimu nafasi ya uenyekiti wa mkoa wa shinyanga, lakini kwnye kikao hicho nusura zichapwe kati ya lema na zitto baada ya lema, kumjia juu zitto ya kuwa mambo yote hayo ya shibuda kayasababisha yeye pale shinyanga kwa kuwaambia baraza la uongozi la mkoa kumteua shibuda kuwa kaimu mwenyekiti wakati katiba ya chama inasema kaimu mwenyekiti anapaswa kutokana na baraza la uongozi la mkoa,
huku shibuda akiwa si mjumbe wa baraza hilo, ndipo aliposimama zitto na kupinga kauli hizo ndipo wabunge na wajumbe wa kamati kuu walipo kuja juu na kumkumbusha zitto juu ya shibuda ya kuwa aliwatukana wabunge na akaambiwa aombe radhi akakataa na mpaka sasa hajaomba kwanini zitto unamtetea huyu jamaa, aliuza mjumbe huyo ambaye ni swahiba wa zitto bwana Msafiri mtemelwa
Haya mambo yanayo ongelewa yawe ya ukweli au uongo ukweli utabaki palepale kwamba"ZITTO ANAIIMBA CHADEMA LAKINI MOYO WAKE UPO MBALI NA CHADEMA".nasema hivyo kwa sababu hakuna mgogoro wowote ninaoukumbuka ambao ulitokea cdm zitto asihusishwe.kila baya chadema zitto yupo.na hii hali itaendelea hivi hadi atakapojiengua mwenyewe CDM.zitto hana msaada wowote chadema zaidi ya kuleta migogoro.kadili siku zinavyoenda umaalufu wa cdm unapungua kigoma.je ni kwanini?
HEKO WAHESHIMIWA ZITTO NA LEMA KWA UKOMAVU WENU KIDEMOKRASIA:
HATA SIKU MOJA WALA MSIOGOPE KUKUBALIANA KUTOKUKUBALIANA KATIKA HOJA BILA CHUKI WALA MIZENGWE
Waheshimiwa Zitto, Lema na kamati kuu zima, napenda niwapongeze tena saaana kwa jinsi mnavyohakikisha kwamba NEMBO YETU YA 'DEMOKRASIA' kweli inafanya kazi kiukweli ndani ya chama katika vyombo vyetu vyote vya maamuzi.
Huo ndio ukomavu wa kidemokrasia, uwazi wa kuendesha mambo kuonyesha utayari wa CDM kuongoza taifa bila kwepo TABAKA LA WATEULE ndani ya chama ambao kauli zao hazipingwi. Nawapongeza pia kukataa kubariki maamuzi ya barabarani katika kuteuana ukaimu mwenyekiti huko Shinyanga. Mhe Shibuda sasa ajindae tu kuingia kwenye kinyang'anyiro katika kukijenga chama huku kwa ushirikiano zaidi.
Ndio demokrasia ndani ya vyama inapokomaa na baada ya hapo wote wawili kuendelea kusalimiana na kuendeleza harakati za kufanya kazi kwa pamoja zaidi kutetea maslahi ya umma wa Tanzania.
Nasema ni ndani ya CHADEMA tu ndimo kulimo kiwango hicho cha juu cha demokrasia na misingi ya maadili ya vipi kushika uongozi KWA KUZINGATIA ITIKADI YETU YA 'NGUVU NA MAMLAKA YA UMMA' katika kila tulitendalo na maamuzi tunayoingia.
Mwisho, chama bila mikiki mikiki ya ndani lakini kwa misingi ya disciplined democratic space exercising tayari ni marehemu mtarajiwa kama kilivyo CCM ambako tofauti tu ya maoni kesho yake mtu anakolimbwa kwa kile anachokiamini.
Conflicts kama hizi ni za msingi maana zinajenga! tatizo ni pale conflicts zinapotokana na ufisadi maana kuna waliofahidi ufisadi na wale wanaolia njaa! hapo huwa ni balaa!!. keep it up CDM! tofautieni kwa hoja za kujenga lakini mwisho muelewane na musiwe na vinyongo kama KIKWETE!
<br />Jamani nashindwa kuelewa,jamaa kama kasema ukweli ndio ulivyo,je, kwa nn unampangia maneno ya kuonge,eti asiongee ya ndani yaliyotokea.na mbona hilo la shibuda out umelipokea...je sio la ndani? halafu huyu dogo huyu Lema anamwambia zitto katumwa...hahaaa ni shida kweli kweli na huyu asipokaa sawa mwisho wa siasa zake za upepo uko karibu sana, au na yeye anatumwa na Mbowe? huu ni ulimbukeni tu unamsumbua lema .....na kama watu hawana nidhamu wataambiwa tu,kisa cha zito kumtetea shibda ni haki yake ya upenzi na uwezo wake wa kuona mbali,je mbowe anahofia shibudaa kumng'oa cheo na kukirudisha chama kanda ya ziwa?tusubiri tutaona mengi...mmejaribu kumchafua shibuda magazetini na jf lakini jueni shibua anaheshimika na kukubarika kuliko huyo slaa na mbowe..kwanza hawawezi kuwa marais wa nchi hii,mfanyabiashara na mwizi wa wake za watu....lema umechemka dogo...bado unasafari ndeeefu sanaaa.
Conflicts kama hizi ni za msingi maana zinajenga! tatizo ni pale conflicts zinapotokana na ufisadi maana kuna waliofahidi ufisadi na wale wanaolia njaa! hapo huwa ni balaa!!. keep it up CDM! tofautieni kwa hoja za kujenga lakini mwisho muelewane na musiwe na vinyongo kama KIKWETE!
TAARIFA HII SIO YAKWELI, IPO KICHONGANISHI, haya mambo sio rasmi, tuweni makini. Jf itakuwa sasa kibanda cha kahawa!
CDM mwaongoza kwa siasa za majitaka, nyie ni shari tu! mara mnataka kupigana. Hiki chama hakina future.
<br />
<br />
Wewe ni Mkuki Moyoni au Mkuki Makalioni kwa hiyo unakusumbua unashindwa kukaa chini na kufikiri!!
Unawezaje kumfananisha Shibuda na Mbowe,on what grounds? Na kuhusu Slaa,huyo mwanamke aliyemchukua Slaa ni wa kwako? Au mkuki umepita kwenye hako kashimo katikati ya makalio yako kwa hiyo unakutekenya?
Kama mwanamke anakutambua wewe ni Mume wake kwa nn aende kwa mwanaume mwingine? Stop writing bulshit!! Just for ur information,Dr.Slaa is expecting a baby from Josephine in the next couple of dayz!!
Na wewe ukikaa legelege watu si tu watakuchukulia mkeo bali watakuja hata kulala naye kwenye hikohiko kitanda chako!
It is ur duty to protect ur wife,Kwanza mwanaume lijali hawezi kulalamika hadharani akichukuliwa Mke,ni Aibu na Matusi!!
Dr.Slaa is a great man and an African Legend!!