Acheni ngano na magugu yakue pamoja kuongeza ukubwa wa luzuku, ila siku ya uchaguzi ngano itawekwa ikulu na magugu yatatupwa nje na kuchomwa moto!
Shibuda ni game changer, ile dawa iliyotumika kumuondoa ras Chacha Wangwe haiwezi kufua dafu hapo.
Ukweli upi anaousimamia Shibuda?kwa hiyo mtu akiwa msema kweli anakuwa adui?
hapa umenena mkuu......maneno ya hekima sana haya....
Achana na Shibuda, kwani alikuja CDM kwa vile anaipenda si baada ya kutemwa CCM, mvutie pumzi afanye kosa la kikatiba CDM, then ataona moto wake, hivi atakwenda mahakamani na kushinda ambayo itakuwa aibu kubwa kwa CDM.
kwa hiyo mtu akiwa msema kweli anakuwa adui?
sijakuelewa unachotaka kumaanisha